Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msumbiji

  • Wanamgambo wenye silaha wakishambulia kituo cha gesi kaskazini mwa  Msumbiji

    Wanamgambo wenye silaha wakishambulia kituo cha gesi kaskazini mwa Msumbiji

    Dec 30, 2020 07:27

    Kundi la watu wenye silaha wamekishambulia kijiji kimoja karibu na mradi mkubwa wa gesi wa Ufaransa kaskazini mwa Msumbiji.

  • UNICEF: Watoto 250,000 wamekimbia makazi Cabo Delgado , Msumbiji

    UNICEF: Watoto 250,000 wamekimbia makazi Cabo Delgado , Msumbiji

    Dec 23, 2020 00:53

    Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema takribani watoto 250,000 wamekimbia makazi yao kutokana na hujuma za kigaidi zinazoendelea kwenye jimbo la Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji na sasa wako hatarini kupata magonjwa ya kuambukiza kwa kuwa msimu wa mvua unaanza.

  • UN yatiwa wasiwasi na mapigano Msumbiji; laki 4 wahama makazi yao

    UN yatiwa wasiwasi na mapigano Msumbiji; laki 4 wahama makazi yao

    Dec 14, 2020 12:22

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, mgogoro mkubwa wa kibinadamu unanukia kaskazini mwa Msumbiji, ambapo watu zaidi ya laki nne wamelazimika kuyahama makazi yao wakihofia usalama wao.

  • Zaidi ya 50 wauawa kwa kukatwa vichwa na magaidi huko Msumbiji

    Zaidi ya 50 wauawa kwa kukatwa vichwa na magaidi huko Msumbiji

    Nov 10, 2020 07:21

    Makumi ya watu wakiwemo vijana mabarobaro wameuawa kwa kukatwa vichwa na genge la wanamgambo wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS), kaskazini mashariki mwa Msumbiji.

  •  Ongezeko la vitendo vya kigaidi lapelekea raia wa Msumbiji 310,000 kuhama makazi yao

    Ongezeko la vitendo vya kigaidi lapelekea raia wa Msumbiji 310,000 kuhama makazi yao

    Sep 23, 2020 13:20

    Ongezo la vitendo vya uasi vya wanamgambo wenye silaha kaskazini mwa Msumbiji limesababisha mamia ya maelfu ya watu kuyahama makazi yao.

  •  Amnesty: Msumbiji inawatesa na kuwanyanyasa washukiwa wa vitendo vya uasi

    Amnesty: Msumbiji inawatesa na kuwanyanyasa washukiwa wa vitendo vya uasi

    Sep 10, 2020 06:47

    Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International, limetangaza kuwa askari jeshi wa serikali ya Msumbiji wanawatesa wanamgambo wanaoshukiwa kufanya mashambulizi katika mkoa wa Cabo Delgado nchini humo. 

  • Afrika Kusini: Tupo tayari kuisaidia Msumbiji iliyokumbwa na mashambulizi ya magaidi

    Afrika Kusini: Tupo tayari kuisaidia Msumbiji iliyokumbwa na mashambulizi ya magaidi

    Sep 03, 2020 11:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesemam kuwa nchi hiyo iko tayari kuisaidia Msumbiji iliyoathiriwa na mashambulizi ya wanamgambo wenye mfungamano na kundi la Daesh yaani ISIS.

  • Msumbuji yachukua uwenyekiti wa SADC

    Msumbuji yachukua uwenyekiti wa SADC

    Aug 18, 2020 03:37

    Tanzania imekabidhi Msumbiji uwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC huku jumuiya hiyo ikiadhimisha miaka 40 tangu kuasisiwa kwake.

  • Kampuni ya Msumbiji: Shehena ya ammonium nitrate iliyosababisha mlipuko Beirut ilikuwa mali yatu

    Kampuni ya Msumbiji: Shehena ya ammonium nitrate iliyosababisha mlipuko Beirut ilikuwa mali yatu

    Aug 08, 2020 13:36

    Kampuni moja ya kutengeneza baruti ya Msumbiji imetangaza kuwa, shehena ya mzigo iliyokuwa imesimamishwa katika bandari ya Beirut ambayo imesababisha mlipuko wa tarehe 4 Agosti ilikuwa mali ya kampuni hiyo.

  • Maafisa usalama wa Msumbiji waua magaidi 50 Cabo Delgado

    Maafisa usalama wa Msumbiji waua magaidi 50 Cabo Delgado

    May 15, 2020 12:26

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Msumbiji amesema maafisa usalama wa nchi hiyo wamefanikiwa kuwaangamiza magaidi 50 ndani ya siku chache zilizopita katika eneo la kaskazini la Cabo Delgado.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS