Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea

    UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea

    Oct 05, 2019 12:23

    Mchunguzi huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu Myanmar amesema mamia ya maelfu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya waliorejea mkoani Rakhine wakitokea Bangladesh wanakandamizwa na kuandamwa na kila aina ya dhuluma na kwa msingi huo, Myanmar sio salama kwa Warohingya zaidi kurejea.

  • Askari wa Bangladesh wambaka binti wa miaka 12 wa Rohingya

    Askari wa Bangladesh wambaka binti wa miaka 12 wa Rohingya

    Oct 04, 2019 01:41

    Jeshi la Bangladesh limesema kuwa linachunguza malalamiko ya familia moja ya Waislamu wa Rohingya inayoishi katika kambi ya wakimbizi nchini humo inayosema kuwa askari wa Bangladesh wamembaka binti yao wa miaka 12.

  • Bangladesh yataka dunia itatue mgogoro wa wakimbizi Waislamu Warohingya

    Bangladesh yataka dunia itatue mgogoro wa wakimbizi Waislamu Warohingya

    Sep 21, 2019 07:10

    Serikali ya Bangladesh imetoa wito kwa jamii ya kimataifa ichukue hatua za kivitendo kutatua mgogoro wa wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya ambao wamelazimika kutafuta hifadhi nchini humo kutokana na mauaji ya kimbari ambayo yamekuwa yakitekelezwa dhidi yao huko Myanmar.

  • UN: Kuna hatari kubwa ya Waislamu laki sita Warohingya waliosalia Myanmar kuuliwa kwa kimbari

    UN: Kuna hatari kubwa ya Waislamu laki sita Warohingya waliosalia Myanmar kuuliwa kwa kimbari

    Sep 17, 2019 07:57

    Wachunguzi wa tume ya Umoja wa Mataifa ya kutafuta ukweli wamesisitiza kuwa Waislamu laki sita wa jamii ya Rohingya waliosalia nchini Myanmar wangali wanakabiliwa na hatari kubwa ya kuuliwa kwa kimbari.

  • 'Siku ya Mauaji ya Kimbari': Waislamu Warohingya 200,000 waandamana na kuwaombea dua wenzao makambini Bangladesh

    'Siku ya Mauaji ya Kimbari': Waislamu Warohingya 200,000 waandamana na kuwaombea dua wenzao makambini Bangladesh

    Aug 25, 2019 12:33

    Wakimbizi wapatao laki mbili Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchini Myanmar leo wameshiriki kwenye kumbukumbu ya mwaka wa pili tangu jeshi la Myanmar lilipowakandamiza na kuwalazimisha kuyahama makazi yao kwa umati na kukimbilia nchi jirani ya Bangladesh ili kunusuru maisha yao.

  • Mwendesha Mashtaka wa ICC ataka kuchunguzwa jinai dhidi ya Warohingya

    Mwendesha Mashtaka wa ICC ataka kuchunguzwa jinai dhidi ya Warohingya

    Jul 05, 2019 07:13

    Mwendesha Mashitaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ametoa mwito wa kuanzishwa uchunguzi wa jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar, akisisitiza kuwa wahusika wanapaswa kukabiliwa na mkono wa sheria na kubebeshwa dhima ya jinai hizo.

  • Umoja wa Mataifa wakiri kutotilia maanani suala la wakimbizi wa Myanmar

    Umoja wa Mataifa wakiri kutotilia maanani suala la wakimbizi wa Myanmar

    Jun 18, 2019 13:33

    Umoja wa Mataifa umekiri kupitia ripoti yake kuhusu kutokuwa na natija utendaji wa taasisi hiyo ya kimataifa mkabala wa wakimbizi wa Myanmar.

  • Bagladesh: Myamar haitaki kuwarejesha nchini wakimbizi wa Rohingya

    Bagladesh: Myamar haitaki kuwarejesha nchini wakimbizi wa Rohingya

    Jun 11, 2019 07:49

    Waziri Mkuu wa Bangladesh ameikosoa vikali serikali ya Myanmar kwa kutoonesha nia wala mpango wa kuwa tayari kuwapokea wakimbizi Waislamu wa Rohingya waliokimbilia nchini humo miaka miwili iliyopita.

  • Wanajeshi wa Myanmar waliowaua Waislamu wa Rohingya waliachiwa kabla ya muda

    Wanajeshi wa Myanmar waliowaua Waislamu wa Rohingya waliachiwa kabla ya muda

    May 27, 2019 07:12

    Imebainika kuwa, wanajeshi wa Myanmar waliowaua Waislamu wa Rohingya katika mkoa wa Rakhine mwaka 2017, waliachiwa huru kabla ya kukamilisha vifungo vyao.

  • Amnesty yaikosoa Israel kwa kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu

    Amnesty yaikosoa Israel kwa kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu

    May 20, 2019 11:03

    Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuziuzia silaha na suhula za kiintelijensia nchi ambazo zinatambulikwa kwa ukiukakaji wa haki za binadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS