-
Jumamosi, 03 Agosti, 2024
Aug 03, 2024 04:21Leo ni Jumamosi 28 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 3 Agosti 2024
-
DRC yaanza kuachia huru wafungwa kupunguza msongamano katika jela kuu ya Kinshasa
Jul 29, 2024 02:55Wafungwa wapatao 7,000 wataachiliwa huru kwa masharti kutoka kwenye jela kuu ya Makala iliyoko katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa katika jitihada za kupunguza msongamano wa wafungwa wanaoshikiliwa katika jela hiyo.
-
Serikali ya Niger yatangaza maadhimisho ya mapinduzi kuwa ni "Sikukuu ya Kitaifa"
Jul 24, 2024 02:35Serikali ya kijeshi ya Niger imetangaza Julai 26 kuwa ni Sikukuu ya Kitaifa itakayokuwa ikiadhimishwa kila mwaka nchini humo kusherehekea matendo ya kizalendo ya watu wa Niger.
-
Magaidi 6 wauliwa na jeshi la Niger magharibi mwa nchi
Jul 12, 2024 06:38Kwa uchache magaidi sita wameuliwa na vikosi vya ulinzi na usalama vya Niger karibu na kijiji cha Abdou Gangani katika mkoa wa magharibi wa nchi hiyo wa Tillabery.
-
Kupasishwa mpango wa kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Niger
Jul 06, 2024 06:48Baada ya miezi minne, serikali ya Marekani imetangaza kwamba vikosi vyake vyote vya kijeshi vitaondoka nchini Niger hivi karibuni.
-
Makumi ya askari wauawa katika shambulio la kigaidi Niger
Jun 26, 2024 11:50Askari wasiopungua 20 wa jeshi la Niger wameuauwa katika shambulio la 'muungano wa makundi ya kigaidi' magharibi mwa nchi hiyo.
-
Niger yaifutia leseni kampuni ya fueli nyuklia ya Ufaransa
Jun 21, 2024 07:44Niger imebatilisha kibali cha kuliruhusu shirika moja la nishati la Ufaransa kuendelea kuzalisha fueli nyuklia katika moja ya migodi mikubwa zaidi ya urani duniani.
-
Waziri wa Biashara na Viwanda wa Niger asisitiza juu ya kuimarisha uhusiano na Iran
May 03, 2024 10:43Waziri wa Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Niger amesisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano baina ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja mbalimbali zikiwemo za kiuchumi.
-
Mji wa Agadez nchini Niger kwa mara nyingine umekuwa kitovu cha wahajiri kuelekea Ulaya
May 02, 2024 02:35Maidani ya usafiri wa umma katika mji wa Agadez huko kaskazini mwa Niger imekuwa ikishuhudia wimbi la watu wanaowasili na kuondoka tangu utawala wa kijeshi wa nchi hiyo ubatilishe amri ya kupiga marufuku usafirishaji wa wahamiaji haramu na shughuli zote zinazohusiana na wahajiri huko Niger Novemba mwaka jana.
-
Kushindwa njama za Marekani za kutaka kuendelea kuwa na uwepo wa kijeshi nchini Niger
Apr 24, 2024 02:32Baada ya kugonga mwamba mazungumzo ya kisiasa ya Marekani ya kudumisha uwepo wake wa kijeshi nchini Niger, kwa mara nyingine tena raia katika nchi hiyo ya Kiafrika wametoa mwito wa kuondoka kwa wanajeshi wa Marekani katika nchi yao kwa kufanya maandamano mbele ya kambi ya kijeshi ya Marekani kaskazini mwa Niger.