-
Wanaigeria warejea mitaani licha ya ombi la Rais
Aug 06, 2024 08:02Wananchi katika mji wa Lagos, Nigeria jana walimiminika mitaani kuendelea na maandamano yao ya kupinga hali mbaya ya uchumi licha ya ombi la Rais wa nchi hiyo Bola Tinubu la kusitishwa maandamano.
-
Watu wasiopungua 22 wamefariki dunia baada ya jengo la shule kuporomoka Nigeria
Jul 13, 2024 11:43Watu wasiopungua 22 wakiwemo wanafunzi kadhaa wamethibitika kupoteza maisha baada ya jengo la shule ya ghorofa mbili kuporomoka katikati mwa Nigeria. Taarifa hii imebainishwa leo na maafisa husika wa Nigeria ambao wamesema zoezi la kuwatafuta watu wengine zaidi ya 100 waliosalia chini ya vifusi vya jengo hilo linaendelea.
-
Watu 18 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi jimboni Borno, Nigeria
Jun 30, 2024 11:25Kwa akali watu 18 wamepoteza maisha huku makumi ya wengine wakijeruhiwa kufuatia wimbi la mashambulizi ya kigaidi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 2,245 ndani ya miezi 3
Jun 29, 2024 12:19Mkurugenzi wa shughuli za vyombo vya habari vya jeshi la Nigeria, Meja Jenerali Edward Buba amesema kuwa watu 1,993 waliokuwa wametekwa nyara wameokolewa baada ya wahalifu kupewa kikomboleo huku, silaha 2,783 za magaidi zikinaswa.
-
Watu 7 wauawa, 100 watekwa nyara kaskazini mwa Nigeria
Jun 24, 2024 10:14Genge moja la wabeba silaha limevamia kijiji kimoja huko kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua watu wasiopungua saba, mbali na kuteka nyara makumi ya wengine.
-
Mripuko wa kipindupindu waua makumi ya watu nchini Nigeria
Jun 21, 2024 02:45Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa kipindupindu katika jimbo la Lagos, kusini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 21.
-
Genge laua watu 6 na kuteka nyara wengine 100 Nigeria
Jun 18, 2024 07:07Genge la wabeba silaha limevamia kijiji kimoja huko kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua watu sita, mbali na kuteka nyara wengine zaidi ya 100.
-
Kadhaa waaga dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka Nigeria
Jun 06, 2024 04:24Makumi ya watu wanahofiwa kufariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu uliotelekezwa katikati ya Nigeria.
-
Kiwanda cha Dangote chaanza kuuzia Ulaya mafuta ya ndege
Jun 02, 2024 06:37Kiwanda cha Kusafishia Mafuta cha Dangote cha Nigeria kimeanza kuziuzia nchi za Ulaya mafuta ya ndege.
-
Shambulio dhidi ya msikiti la sababu za kifamilia lajeruhi watu 24 wakiwemo watoto kaskazini ya Nigeria
May 16, 2024 06:23Polisi ya Nigeria imesema, watu wasiopungua 24 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa katika jimbo la kaskazini la Kano baada ya mwanamume mmoja kushambulia msikiti waliokuwamo ndani yake watu hao waliokuwa wakisali na kusababisha mripuko.