-
Ujerumani yazidi kujikita kijeshi nchini Niger
Oct 08, 2016 00:34Ujerumani imeimarisha kuwepo kwake kijeshi nchini Niger kwa kuanzisha kituo cha jeshi la anga katika mji mkuu wa nchi hiyo Niamey.
-
Harakati ya Kiislamu yapigwa marufuku Kaduna, Nigeria
Oct 08, 2016 03:18Harakati ya Kiislamu ya Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky imepigwa marufuku katika jimbo la Kaduna huku Waislamu wakiendelea kukandamizwa nchini humo.
-
Wanachama 9 wa Boko Haram wauawa na jeshi la Nigeria
Sep 30, 2016 09:49Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewauwa wanachama 9 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika mapigano yaliyojiri kati ya pande mbili kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
UN: Watoto 75 elfu wapo katika hatari ya kufa njaa Nigeria
Sep 29, 2016 10:24Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, maelfu ya watoto wadogo wapo katika hatari ya kupoteza maisha katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, kutokana na njaa na utapiamlo 'uliosababishwa' na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.
-
Kutolewa muhula na Waislamu wa Nigeria kwa serikali wa kumwachia huru Sheikh Zakzaky
Sep 29, 2016 01:06Waislamu wa Nigeria wameipa serikali muhula wa wiki moja kuhakikisha inamwachia huru mara moja Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
Waislamu wa Nigeria waipa muhula serikali kumuachilia huru Sheikh Zakzaky
Sep 27, 2016 11:08Waislamu nchini Nigeria wameipa serikali ya nchi hiyo muhula wa wiki moja kuhakikisha inamuachilia huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu.
-
Walipiza Kisasi Niger Delta watangaza kuhujumu kituo cha mafuta
Sep 25, 2016 04:28Kundi la wanamgambo wa Nigeria wanaojiita Niger Delta Avengers yaani Walipiza Kisasi wa Niger Delta wametangaza kutekeleza hujuma ya kwanza dhidi ya kituo cha uzalishaji mafuta kusini mwa nchi hiyo kwa mara ya kwanza tangu watangaze kusitisha hujuma mwezi Agosti.
-
Kiongozi wa kundi la Niger Delta atiwa mbaroni Nigeria
Sep 25, 2016 00:47Kamanda wa kikosi cha baharini nchini Nigeria ametangaza kuwa kiongozi wa kundi la waasi la Niger Delta, kusini mwa nchi hiyo ametiwa nguvuni.
-
Majeshi ya Niger, Chad yaua magaidi 38 wa Boko Haram
Sep 17, 2016 10:31Majeshi ya Niger na Chad yameua magaidi 38 wa kundi la kitakfiri la Boko Haram katika miji miwili ya mpakani kusini mashariki mwa Niger mapema wiki hii.
-
Jeshi la Nigeria lawakamata wanamgambo wa Avengers
Sep 07, 2016 23:21Jeshi la Nigeria limetangaza kuwakamata wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la Niger Delta Avengers (NDA) yaani Walipizaji Kisasi wa Niger Delta.