-
Mwanaharakati Nigeria: Kimbunga cha al-Aqsa kilianika udhaifu wa Israel
Oct 07, 2024 06:17Mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu nchini Nigeria amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa ya Oktoba 7, 2023 iliyofanywa na wanamapambano wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ilifichua namna utawala haramu wa Israel ulivyo dhaifu sanjari na kuugutusha ulimwengu juu ya kadhia ya Palestina.
-
Jumanne tarehe Mosi Oktoba 2024
Oct 01, 2024 06:47Leo ni Jumanne tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1446 Hijria sawa na tarehe Mosi Oktoba 2024.
-
Nigeria kuandamana leo kupinga ongezeko la gharama za maisha
Oct 01, 2024 02:18Wananchi wa Nigeria leo Jumanne wamepanga kufanya maandamano mapya kulalamikia ongezeko la gharama za maisha. Maandamano hayo yaliyopewa jina la "Oktoba Mosi Bila Hofu" yamepangwa kwenda sambamba na kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka 64 ya uhuru wa Nigeria.
-
Seneta wa Nigeria: Jinai za Israel Gaza, Lebanon zinaonyesha UN haina maana
Sep 27, 2024 03:05Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Nigeria amesema kuwa, mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na huko Beirut, mji mkuu wa Lebanon yameonyesha kushindwa kwa dunia kushughulikia suala la Palestina, na pia imeonyesha namna Umoja wa Mataifa ulivyo butu kwa kushindwa kukomesha ukatili na unyama wa Israel.
-
Mafuriko makubwa yaziathiri Nigeria na Niger; mamia ya maelfu ya watu wahama makazi yao
Sep 25, 2024 02:25Mafuriko makubwa yamesababisha maafa katika nchi za kati na magharibi mwa Afrika, zikiwemo Nigeria na Niger na kuathiri mamia ya maelfu ya watu na kusababisha uharibifu mkubwa.
-
Wakulima 64 wafa maji katika ajali ya boti kaskazini ya Nigeria
Sep 15, 2024 07:31Watu wasiopungua 64 wanahofiwa kufa maji katika ajali ya boti iliyotokea mtoni katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Makumi waaga dunia katika mripuko wa lori la mafuta nchini Nigeria
Sep 09, 2024 09:56Makumi ya watu wamepoteza maisha baada ya lori la kubeba mafuta kuripuka baada ya kugongana na gari jingine kaskazini mwa Nigeria.
-
Nigeria: BRICS inayahamasisha mataifa ya Afrika
Aug 30, 2024 02:39Balozi wa Manispaa ya Kimataifa ya BRICS (IMBRICS) nchini Nigeria amesema jumuiya ya kiuchumi ya BRICS imekuwa chanzo kikubwa cha motisha na hamasa kwa nchi nyingi za Afrika, kwa kuwa inazihimiza kupigania uhuru wao na kupinga ushawishi na ubeberu wa Magharibi.
-
Wananchi wa Nigeria wakasirishwa na ndege mpya ya rais iliyogharimu dola milioni 100
Aug 27, 2024 02:11Ununuzi wa hivi karibuni wa ndege mpya ya Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, iliyogharimu dola za Kimarekani milioni 100 umewakasirisha sana wananchi wa nchi hiyo.
-
Watu 30 wauawa katika shambulio la wanamgambo nchini Nigeria
Aug 10, 2024 12:54Kwa akali watu 30 wameuawa katika jimbo la Benue nchini Nigeria baada ya kundi la wanamgambo kufanya mashambulio dhidi ya kijiji cha Ayati.