-
Watoto 11 wafariki dunia katika ajali ya basi kaskazini mwa Nigeria
Dec 21, 2016 23:35Watoto 11 wamepoteza maisha baada ya kugongwa na basi walipokuwa wakishiriki zefe (matembezi) ya Maulid (kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume SAW) kaskazini mwa Nigeria.
-
Nigeria yatilia mkazo ustawi na maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Afrika
Dec 20, 2016 11:07Rais wa Nigeria ametilia mkazo ustawi na maendeleo ya kiuchumi kwa maslahi ya nchi za eneo la Magharibi mwa Afrika.
-
Watu kadhaa wajeruhiwa katika shambulio la kigaidi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Dec 19, 2016 23:36Watu kadhaa wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi linalosadikiwa kufanywa na wanamgambo wa kundi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
WHO: Boko Haram imeharibu vituo vya Afya kaskazini mwa Nigeria
Dec 16, 2016 01:19Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kundi la kigaidi la Boko Haram limeharibu sehemu kubwa ya vituo vya afya katika eneo la kaskazini mwa Nigeria.
-
HRW yataka Nigeria imuachie huru Zakzaky na iache kukandamiza Mashia
Dec 15, 2016 10:28Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Abuja iheshimu agizo la mahakama na kumuachia huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigiera, Sheikh Ibrahim Zakzaky sambamba na kusitisha ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
Mamia ya raia wakombolewa kutoka mikononi mwa Boko Haram, Nigeria
Dec 15, 2016 02:51Afisa wa jeshi la Nigeria amesema kuwa, zaidi ya raia 600 wakiwemo watoto 450 wa nchi hiyo wamekombolewa kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Watoto laki 4 katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa Nigeria
Dec 14, 2016 10:47Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa mamia ya maelfu ya watoto nchini Nigeria wako katika hatari ya kuaga dunia kutokana na vita, njaa na lishe duni.
-
Waislamu Nigeria wazidi kushinikizwa na serikali kwa kisingizio cha kuimarishwa usalama
Dec 11, 2016 23:09Kufuatia kuongezeka hujuma za kigaidi nchini Nigeria, serikali ya Abuja inatumia kisingizio hicho kuwakadamiza wananchi hasa Waislamu.
-
Kanisa laporomoka na kuua watu zaidi ya 160 Nigeria
Dec 11, 2016 11:14Watu zaidi ya 160 wameuawa baada ya kanisa kuporomoka kusini mashariki mwa Nigeria Jumamosi.
-
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamui Nigeria ahamishiwa sehemu isiyojulikana
Dec 11, 2016 04:39Baadhi ya ripoti kutoka Nigeria zinasema kuwa Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amehamishiwa sehemu isiyojulikana nchini humo.