Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mahmoud al-Zahar: Hamas iko tayari kushirikiana na wanaotaka kukombolewa Palestina

    Mahmoud al-Zahar: Hamas iko tayari kushirikiana na wanaotaka kukombolewa Palestina

    Aug 07, 2017 02:38

    Mjumbe mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kushirikiana na watu wote wanaofanya juhudi za kutaka kukombolewa Palestina kutoka katika makucha ya Wazayuni maghasibu.

  • Zarif: Jamii ya kimataifa inapaswa kukomesha jinai za Israel

    Zarif: Jamii ya kimataifa inapaswa kukomesha jinai za Israel

    Aug 01, 2017 22:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jamii ya kimataifa inalazimika kukomesha utamaduni wa kutouadhibu utawala wa Kizayuni wa Israel na kuulazimisha utawala huo usitishe kabisa uhalifu na jinai zake dhidi ya watu wa Palestina.

  • Ayatullah Araki: Hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa hazitaachwa bila majibu

    Ayatullah Araki: Hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa hazitaachwa bila majibu

    Jul 29, 2017 09:18

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na Msikiti wa al-Aqswa ni hujuma dhidi ya ubinadamu na kwamba, mashambulio hayo hayatabikia hivi hivi bila majibu.

  • Mkuu wa Sera za Nje wa EU: Quds ya Mashariki haitenganishiki na Palestina

    Mkuu wa Sera za Nje wa EU: Quds ya Mashariki haitenganishiki na Palestina

    Jul 29, 2017 03:22

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema Baitul Muqaddas Mashariki ni sehemu isiyotenganishika na Palestina.

  • Balozi wa Palestina Tehran: Mapambano ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni wa Israel yanaendelea

    Balozi wa Palestina Tehran: Mapambano ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni wa Israel yanaendelea

    Jul 26, 2017 09:14

    Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel yataendelea hadi pale utawala huo haramu utakapoangamizwa na kufutwa katika ramani ya dunia.

  • UNESCO: Al Khalil (Hebron) ni turathi ya kimataifa ya Palestina

    UNESCO: Al Khalil (Hebron) ni turathi ya kimataifa ya Palestina

    Jul 26, 2017 05:40

    Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeuweka mji wa al Khalil na Haram ya Nabii Ibrahim (as) katika orodha ya turathi za kimataifa zinazokabiliwa na hatari ya kutoweka na limelaani vikali hatua za utawala ghasibu wa Israel katika eneo hilo.

  • Jumanne tarehe 25 Julai, 2017

    Jumanne tarehe 25 Julai, 2017

    Jul 24, 2017 22:31

    Leo ni Jumanne tarehe Mosi Dhilqaada 1438 Hijria sawa na Julai 25, 2017.

  • Jumatatu, 24 Julai, 2017

    Jumatatu, 24 Julai, 2017

    Jul 23, 2017 22:33

    Leo ni Jumatatu tarehe 29 Shawwal 1438 Hijria, sawa na 24 Julai, 2017.

  • Qassemi: Palestina bado ni kadhia ya kwanza ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Qassemi: Palestina bado ni kadhia ya kwanza ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Jul 23, 2017 09:47

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa kuendelea ukandamizaji mkubwa na kukiukwa haki za raia wa Palestina katika kufikia maeneo matukufu huko Quds Tukufu kunaonyesha kuwa Palestina iliyodhulumika ingali kadhia ya kwanza ya Ulimwengu wa Kiislamu.

  • António Guterres: Israel ijiepushe kufanya ukatili huko Quds

    António Guterres: Israel ijiepushe kufanya ukatili huko Quds

    Jul 23, 2017 02:14

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu ukatili na hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwazuia Wapalestina kutekeleza ibada ya Swala ndani ya Msikiti wa al Aqsa. 

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS