-
Afrika Kusini yataka Israel itambulishwe kama "utawala wa kibaguzi"
Nov 25, 2023 01:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini ametangaza kwamba nchi hiyo inaendeleza juhudi katika mashirika na jumuiya za kimataifa za kuutambulisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi".
-
Raisi: Israel haijaambulia chochote katika vita vyake Gaza
Nov 23, 2023 04:05Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Israel imefeli kufikia malengo yake yote katika hujuma na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Afrika Kusini yataka amani ya kudumu na endelevu Palestina
Nov 23, 2023 04:05Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini sanjari na kupongeza usitishaji vita wa muda kwa misingi ya ubinadamu huko Gaza, ametoa mwito wa kufanyika jitihada zaidi za kutafuta amani ya kudumu na endelevu katika mgogoro wa miongo kadhaa baina ya Palestina na utawala haramu wa Israel.
-
Alkhamisi, tarehe 23 Novemba, 2023
Nov 22, 2023 23:35Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1445 Hijria mwafaka na tarehe 23 Novemba mwaka 2023.
-
BRICS, kwa ombi la Iran, kufanya mkutano wa dharura kujadili Gaza
Nov 20, 2023 23:46Kufuatia pendekezo la Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kundi la BRICS linatazamiwa kufanya mkutano wa dharura kujadili vita vya uvamizi vya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Holocaust halisi ya karne ya 21 yafanyika Palestina
Nov 20, 2023 04:18Mwakilishi wa harakati ya wanaqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas nchini Iran amesisitiza kuwa holocaust ya kweli ya karne ya 21 inajiri huko Palestina.
-
Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu (2)
Nov 19, 2023 03:06Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya pili ya kipindi cha Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu.
-
Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu (1)
Nov 19, 2023 03:03Katika kikao chake na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na mabalozi wa nchi za Kiislamu tarehe 18 Februari mwaka huu, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran alisema suala la Palestina ni moja ya masuala muhimu zaidi ya ulimwengu wa Kiislamu. Alisema hali ya kusikitisha na kuhuzunisha ya hivi sasa huko Palestina ni matokeo ya kupuuzwa suala hilo na baadhi ya nchi za Kiislamu.
-
Iran: US ndiyo sababu ya kushtadi mgogoro Ukanda wa Gaza
Nov 18, 2023 00:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitaki vita vya Gaza vipanuke, lakini yumkini vitasambaa zaidi katika maeneo mengine kwa kuwa Marekani inachochea mgogoro huo kwa kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
WSJ: Rais Biden anakabiliwa na uasi ndani ya serikali kwa sababu ya himaya yake kwa Israel
Nov 16, 2023 10:01Jarida la Wall Street Journal limeripoti kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden, anakabiliwa na uasi kutoka kwa baadhi ya taasisi za serikali yake zinazopinga uungaji mkono wake kwa Israel katika vita vyake dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).