-
Mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu Bahrain aachiwa huru
Dec 28, 2016 14:32Nabil Rajab, mwanaharakati mtajika wa kutetea haki za binadamu nchini Bahrain ambaye amezuiliwa kwa miezi kadhaa na polisi ya nchi hiyo ameachiwa huru kufuatia mashinikizo ya ndani na nje ya nchi.
-
Polisi ya Uganda yafanya msako katika msikiti wa Nakasero
Dec 28, 2016 02:51Kikosi cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Polisi nchini Uganda (JATT) jana Jumanne asubuhi kilifanya msako mkali katika msikiti wa Nakasero ulioko katika barabara ya Snay bin Amin jijini Kampala na kukamata watu kadhaa wakiwemo walinzi wa msikiti huo.
-
Polisi Kongo yawatia mbaroni makumi ya raia
Dec 23, 2016 07:42Polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewatia mbaroni makundi ya raia kwa kosa la kushiriki maandamano dhidi ya serikali.
-
Sudan yawatia nguvuni viongozi wanne wakuu wa upinzani
Nov 24, 2016 13:36Serikali ya Sudan imewakamata viongozi wanne mashuhuri wa upinzani nchini humo akiwemo mwanasiasa mkongwe Sadiq Youssef.
-
Polisi ya Canada yaahidi kushirikiana zaidi na Waislamu
Oct 30, 2016 03:55Jeshi la polisi la mjini Toronto Canada limeteua afisa maalumu wa masuala ya kidini kwa ajili ya kuwasaidia na kuwaunga mkono kimaanawi maafisa wa polisi Waislamu na kuwa kiungo baina ya polisi na Waislamu wa nchi hiyo.
-
Magaidi washambulia chuo cha polisi na kuua 55 nchini Pakistan
Oct 25, 2016 04:38Makumi ya makurutu wameuawa baada ya genge la kigaidi kushambulia chuo cha kutoa mafunzo ya polisi kusini magharibi mwa Pakistan.
-
Barret: Polisi ya Marekani imejifunza ukatili kutoka Israel
Oct 02, 2016 08:11Mchanganuzi wa masuala ya siasa na mwandishi wa habari wa Marekani amesema ukandamizaji, dhulma na ukatili unaofanywa na maafisa wa polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika umetokana na mafunzo waliyopokea kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Video: Mwanamke wa kwanza Muislamu kuvaa sare katika jeshi la polisi la Marekani azungumza
Aug 27, 2016 12:22Afisa wa kwanza wa kike wa polisi wa Marekani, ameanza kazi katika jeshi hilo kwa kuvaa sare ya Hijabu katika mji wa Dearborn kwenye jimbo la Michigan.
-
Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Zimbabwe
Aug 17, 2016 14:13Maafisa wa polisi nchini Zimbabwe wametumia mabomu ya kutoa machozi na maji yenye kuwasha kuzima maandamano ya makumi ya watu wanaopinga azma ya Benki Kuu nchini humo ya kufufua matumizi ya noti za nchi hiyo.
-
133 wakamatwa na polisi Zambia kwa kupinga ushindi wa Rais Lungu
Aug 16, 2016 15:21Polisi nchini Zambia imewatia mbaroni makumi ya wafuasi wa upinzani wanaopinga ushindi wa Rais Edgar Lungu katika uchaguzi wa rais uliofanyika Alkhamisi iliyopita.