-
Upinzani Ethiopia: Serikali iache kuua na kukandamiza waandamanaji
Aug 14, 2016 06:53Vyama vya upinzani nchini Ethiopia vimevunja kimya chao na kuitaka serikali ya nchi hiyo kukomesha mauaji na ukandamizaji dhidi ya waandamanaji.
-
Besigye amtaka Mkuu wa Polisi Uganda ajiuzulu
Aug 11, 2016 14:30Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dakta Kizza Besigye amemtaka Mkuu wa Polisi nchini humo ajiuzulu mara moja, kufuatia kesi ya jinai inayomkabili.
-
Bunge la Misri limewazuia polisi kutoa taarifa kwa vyombo vya habari
Aug 10, 2016 07:32Bunge la Misri Jumanne wiki hii limeidhinisha marekebisho ya sheria yanayowazuia askari polisi wa nchi hiyo kutoa taarifa kwa vyombo vya habari.
-
Shakhsia wa kidini Bahrain wazidi kuswekwa korokoroni
Aug 07, 2016 13:16Polisi ya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain imewatia mbaroni wanazuoni wanne mashuhuri wa Kiislamu, katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa dhulma na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
UN yaafiki kutumwa askari polisi nchini Burundi
Jul 30, 2016 08:13Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha pendekezo la Ufaransa la kutumwa askari polisi zaidi ya 200 wa umoja huo nchini Burundi kwa lengo la kuhitimisha machafuko ya zaidi ya mwaka mmoja nchini humo.
-
Bahrain yazuia Swala ya Ijumaa na kukamata watu 50 Diraz
Jul 23, 2016 04:07Katika muendelezo wa wimbi la ukandamizaji na dhulma za utawala wa kifalme wa Aal-Khalifa, maafisa usalama nchini Bahrain walizuia Swala ya Ijumaa hapo jana sambamba na kuwatia mbaroni watu 50 katika kijiji cha Diraz, kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Wanafunzi wa sekondari Senegal wakamatwa kwa 'ugaidi'
Jul 20, 2016 07:39Polisi ya Senegal inawazuilia wanafunzi wanne wa shule moja ya upili kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kigaidi.
-
Mawakili Kenya katika mgomo wa siku 5 kulalamikia kuuawa mwenzao
Jul 05, 2016 03:51Maelfu ya mawakili nchini Kenya jana Jumatatu walitangaza mgomo wa siku tano wa kususia vikao mahakamana kufuatia kuuawa wakili mwenzao ambaye mwili wake ulipatikana ukiwa umetupwa kwenye mto kusini mashariki mwa mji mkuu, Nairobi.
-
Idadi zaidi ya polisi watumwa mashariki mwa Kongo DR
Jun 11, 2016 15:28Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimetangaza kuwa askari zaidi wa jeshi la Polisi wametumwa eneo la mashariki mwa nchi hiyo.
-
Hatimaye Maalim Seif atakiwa afike Makao Makuu ya Polisi Zanzibar kuhojiwa
May 30, 2016 16:26Baada ya Jeshi la Polisi Zanzibar kuahirisha hatua ya kumhoji Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad, hatimaye hatua hiyo sasa imeelekea kutekelezwa, imebainika.