Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Jaribio la mapinduzi lililoshindwa nchini Burkina Faso

    Jaribio la mapinduzi lililoshindwa nchini Burkina Faso

    Oct 22, 2016 08:56

    Serikali ya Burkina Faso imetangaza kuwa imefichua na kusambaratisha njama za kutaka kuipindua serikali hiyo.

  • Mutharika: Sishangazwi na walioeneza uvumi eti nimekufa

    Mutharika: Sishangazwi na walioeneza uvumi eti nimekufa

    Oct 16, 2016 10:13

    Rais Peter Mutharika wa Malawi amevunja kimya chake kuhusu uvumi ulioenea kwa siku kadhaa nchini humo kuwa ameaga dunia na kusema kuwa walioneza habari hizo za urongo ni wapuuzi.

  • Rais wa Sudan Kusini akanusha uvumi kuwa ameuawa

    Rais wa Sudan Kusini akanusha uvumi kuwa ameuawa

    Oct 13, 2016 04:20

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amelazimika kujitokeza hadharani kukanusha uvumi ulioenea nchini humo kwamba ameuawa.

  • Rais Rouhani: Hali ya Yemen ni ya kusikitisha

    Rais Rouhani: Hali ya Yemen ni ya kusikitisha

    Oct 11, 2016 04:33

    Rais Hassan Rouhani amesema hali ya Yemen ni ya kusikitisha na amekosoa mashambulio ya kinyama yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.

  • Ufaransa yafufua uchunguzi wa mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda

    Ufaransa yafufua uchunguzi wa mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda

    Oct 08, 2016 10:26

    Ufaransa imeanzisha tena uchunguzi wa mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda, Juvenal Habyarimana, yaliyopelekea kuanza kwa mauji ya kimbari nchini humo mwaka 1994.

  • Hatima ya Mugabe kutolewa madarakani na mahakama ya katiba Zimbabwe

    Hatima ya Mugabe kutolewa madarakani na mahakama ya katiba Zimbabwe

    Oct 08, 2016 10:35

    Hatima ya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye ameiongoza nchi hiyo tangu ijinyakulie uhuru sasa ipo mikononi mwa mahakama ya katiba ya nchi hiyo.

  • Dunia yampongeza Rais wa Zambia licha ya uchaguzi tata

    Dunia yampongeza Rais wa Zambia licha ya uchaguzi tata

    Aug 18, 2016 09:31

    Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa shakhsia na viongozi wa kwanza wa dunia kumpongeza Edgar Lungu kwa kushinda uchaguzi wa rais uliogubikwa na utata na ambao upinzani umeelekea mahakamani kupinga matokeo yake.

  • Aboud Jumbe Mwinyi Rais wa zamani wa Zanzibar aaga dunia

    Aboud Jumbe Mwinyi Rais wa zamani wa Zanzibar aaga dunia

    Aug 14, 2016 09:39

    Aliyekuwa Rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kati ya tarehe 7 Aprili 1972 hadi 30 Januari 1984, Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia mchana wa leo nyumbani kwake Kigamboni, jijini Dar es Saalam baada ya kuugua kwa muda mrefu na anatarajiwa kuzikwa kesho Zanzibar. Kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe kimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa marehemu.

  • 85% ya matokeo ya kura Zambia, Rais Lungu aongoza

    85% ya matokeo ya kura Zambia, Rais Lungu aongoza

    Aug 15, 2016 03:33

    Rais Edgar Lungu wa Zambia angali anaongoza kwa kura chache dhidi ya mpinzani wake wa karibu, baada ya asilimia 85 ya kura za uchaguzi wa rais kuhesabiwa.

  • Matokeo ya awali, mchuano mkali katika uchaguzi wa rais Zambia

    Matokeo ya awali, mchuano mkali katika uchaguzi wa rais Zambia

    Aug 13, 2016 02:52

    Mchuano mkali umeshuhudiwa katika uchaguzi wa rais nchini Zambia, huku Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo na mshindani wake wa karibu Hakainde Hichilema wakipishana kwa mwanya mwembamba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS