-
Matokeo ya awali, mchuano mkali katika uchaguzi wa rais Zambia
Aug 13, 2016 02:52Mchuano mkali umeshuhudiwa katika uchaguzi wa rais nchini Zambia, huku Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo na mshindani wake wa karibu Hakainde Hichilema wakipishana kwa mwanya mwembamba.
-
Rais asusia duru ya pili ya uchaguzi visiwani Sao Tome
Aug 08, 2016 03:28Rais Manuel Pinto da Costa wa visiwa vya Sao Tome and Principe amesusia duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyofanyika jana Jumapili na hivyo mpinzani wake wa karibu anatazamiwa kushinda kiti hicho kiwepesi.
-
Viongozi wa Afrika wahudhuria hafla ya kuapishwa Rais Deby wa Chad
Aug 07, 2016 22:13Rais Idris Deby wa Chad anatazamiwa kula kiapo cha kulitumikia taifa hilo kwa muhula wa tano, baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Aprili mwaka huu.
-
Buhari akanusha madai ya kuzuka mpasuko wa kidini Nigeria
Aug 03, 2016 03:27Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amekanusha madai kwamba serikali yake inafanya kila iwezalo kuleta mgawanyiko na matafaruku wa kidini nchini humo.
-
Rais wa Gabon awatahadharisha wapinzani wake
Aug 01, 2016 02:59Rais wa Gabon amewatahasharisha wapinzani wa serikali yake kuhusu kuzusha machafuko wakati wa uchaguzi.
-
Trump: Hillary Clinton ni mzizi wa matatizo ya kiusalama duniani
Jul 22, 2016 10:15Mgombea wa kiti cha rais kwa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amesema aghalabu ya changamoto za kiusalama zinaoikabili dunia kwa sasa zilisababishwa na hasimu wake wa kisiasa Hillary Clinton, anayetaka kuwa rais kupitia chama cha Democrats.
-
ZANU-PF: Mugabe hatojiuzulu licha ya maandamano
Jul 08, 2016 00:18Chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kimesema Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo hatajiuzulu licha ya mgomo wa wafanyakazi na maandamano ya wananchi kulalamikia uongozi wake na hali mbaya ya uchumi.
-
Kabila ataka mazungumzo ya kitaifa yaanze mara moja
Jun 30, 2016 03:26Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametoa wito wa kuanza mazungumzo ya kitaifa mara moja ili kuutafutua ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Hizbullah: Saudia inazuia kufanyika uchaguzi wa rais Lebanon
Jun 28, 2016 03:07Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameikosoa vikali Saudi Arabia kwa kukwamisha mikakati ya kisiasa sambamba na kuzuia juhudi za kufanyika uchaguzi wa rais nchini Lebanon.
-
Mwinyi: Tofauti za kidini zisiwagawanye Watanzania
Jun 17, 2016 23:23Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi ameshutumu vikali kile alichokitaja kuwa udini na kuwataka Watanzania kutoruhusu tofauti zao za kidini na kimadhehebu kuwa chanzo cha mgawanyiko miongoni mwao.