-
Wasiwasi wa wakimbizi Warohingya nchini Bangladesh kuhusu watoto wao
Jun 06, 2019 22:35Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR linafanya kila liwezalo kuhakikisha watoto wakimbizi Warohingya huko Bangladesh wanapata elimu wakati huu ambapo wazazi wao wana hofu kubwa juu ya mustakabali wa elimu ya watoto hao.
-
Wanajeshi wa Myanmar waliowaua Waislamu wa Rohingya waliachiwa kabla ya muda
May 27, 2019 02:42Imebainika kuwa, wanajeshi wa Myanmar waliowaua Waislamu wa Rohingya katika mkoa wa Rakhine mwaka 2017, waliachiwa huru kabla ya kukamilisha vifungo vyao.
-
ICC: Waliohusika katika jinai dhidi ya Waislamu Warohingya kuchukuliwa hatua
Mar 12, 2019 04:22Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imesema watu waliohusika katika jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar watakabiliwa na mkono wa sheria na kubebeshwa dhima ya jinai hizo.
-
Saudia yawafukuza Waislamu wa Rohingya waliokimbia mauaji Myanmar
Jan 08, 2019 11:46Saudi Arabia imewasafirishwa kwa nguvu hadi nchini Bangladesh makumi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliotorokea nchini humo baada ya kushadidi mauaji na mashambulizi dhidi yao katika nchi yao ya Myanmar.
-
Maseneta wa Marekani waitaka serikali yao itambue hujuma dhidi ya Waislamu Warohingya kuwa ni mauaji ya kimbari
Dec 20, 2018 04:30Kundi la Maseneta nchini Marekani limemtaka Mike Pompeo, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo atambue hujuma zinazofanywa nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya kuwa ni mauaji ya kimbari.
-
Mynamar yawakamata Warohingya 106 wakielekea Malaysia
Nov 16, 2018 13:11Maafisa wa Idara ya Uhamiaji wa Myanmar wamewatia nguvuni Waislamu 106 wa Rohingya ambao walikuwa safarini kuelekea Malaysia.
-
Bangladesh yatumia askari kuwafukuza kwa nguvu wakimbizi Warohingya
Nov 14, 2018 10:51Serikali ya Bangladesh imetuma maafisa usalama wakiwemo wanajeshi na askari polisi katika kambi za wakimbizi Waislamu wa Rohingya katika eneo la Cox wilayani Bazar, kusini mashariki mwa nchi kwa lengo la kuwafukuza kwa nguvu wakimbizi hao na kuwarejesha Myanmar.
-
UN: Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa wakirejeshwa Myanmar
Nov 13, 2018 23:09Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Bangladesh kusimamisha mpango wake wa kuwarejesha kwa nguvu nchini Myanmar maelfu ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya akisisitiza kuwa maisha yao yatakuwa hatarini.
-
Australia yawewekea vikwazo makamanda wa jeshi la Myanmar
Oct 23, 2018 23:21Serikali ya Australia imetangaza kuwawekea vikwazo makamanda watano wa jeshi la Myanmar wanaotuhumiwa kuongoza mauaji na jinai dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Warohingya: Bora tuuliwe India kuliko kurejeshwa Myanmar
Oct 15, 2018 10:16Wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaoishi kambini nchini India wamesema afadhali wauawe wakiwa ndani ya nchi hiyo badala ya kurejeshwa nchini kwao Myanmar.