Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Rais Rouhani: Kutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa

    Rais Rouhani: Kutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa

    Apr 04, 2017 11:46

    Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye treni ya chini ya ardhi katika mji wa St. Petersburg nchini Russia na kusisitiza kuwa kuutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa.

  • Ripoti: Trump, UAE wanakula njama ya kuitenganisha Russia na Iran

    Ripoti: Trump, UAE wanakula njama ya kuitenganisha Russia na Iran

    Apr 04, 2017 11:34

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) uliandaa mkutano wa siri mapema mwaka huu kati ya mwakilishi wa rais mteule wakati huo wa Marekani Donald Trump na mpambe wa Rais Vladimir Putin wa Russia ili kufanikisha diplomasia ya mlango wa nyuma baina ya pande mbili.

  • Nyuma ya pazia ya mlipuko wa kigaidi katika treni ya chini ya ardhi Russia

    Nyuma ya pazia ya mlipuko wa kigaidi katika treni ya chini ya ardhi Russia

    Apr 04, 2017 03:47

    Kufuatia hujuma ya kigaidi katika mji wa bandarini wa St. Petersburg nchini Russia siku ya Jumatatu watu 10 waliripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.

  • Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Russia

    Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Russia

    Apr 03, 2017 22:58

    Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi katika mji wa St.Petersburg nchini Russia.

  • 10 wauawa katika mripuko wa Metro nchini Russia

    10 wauawa katika mripuko wa Metro nchini Russia

    Apr 03, 2017 10:43

    Maafisa usalama wa Russia wametangaza kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha katika mripuko uliotokea ndani ya treni ya chini ya ardhi (Metro) mjini Saint Petersburg wamefikia watu 10 na wengine watano wamejeruhiwa.

  • Uhusiano wa Marekani na Russia ni mbaya zaidi ya zama za Vita Baridi

    Uhusiano wa Marekani na Russia ni mbaya zaidi ya zama za Vita Baridi

    Apr 03, 2017 09:21

    Katika hali ambayo baadhi wanadhani kuwa uhusiano wa Russia na Marekani utaboreka katika kipindi cha urais wa Donald Trump, msemaji wa Rais wa Russia amesema uhusiano wa Moscow na Washington ni mbaya zaidi ya zama za vita baridi.

  • Kutiliwa nguvu mazungumzo ya Russia na kundi la Taliban la Afghanistan

    Kutiliwa nguvu mazungumzo ya Russia na kundi la Taliban la Afghanistan

    Apr 02, 2017 08:33

    Alexander Grushko, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO amethibitisha habari kuwa Moscow imefanya mazungumzo na kundi la Taliban la Afghanistan.

  • Kikao cha Brussels cha mawaziri wa mambo ya nje wa NATO

    Kikao cha Brussels cha mawaziri wa mambo ya nje wa NATO

    Apr 02, 2017 00:17

    Kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa shirika la kujihami la kijeshi la NATO kilifanyika siku ya Ijumaa iliyopita katika makao makuu ya shirika hilo mjini Brussels, Ubelgiji.

  • Russia: Iran ni mshirika wa aina yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Russia: Iran ni mshirika wa aina yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Mar 31, 2017 10:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amepuuzilia mbali madai bandia kuwa Iran inaunga mkono ugaidi na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni mshirika mkubwa katika vita dhidi ya magenge ya kigaidi nchini Syria.

  • Iran, jirani mwema na mshirika mwenye utulivu na amani wa Russia

    Iran, jirani mwema na mshirika mwenye utulivu na amani wa Russia

    Mar 29, 2017 03:04

    Hati 14 za ushirikiano katika sekta mbalimbali zikiwemo masuala ya kibalozi, utalii, uchumi, mawasiliano, sheria na masuala ya mahakama zimesainiwa katika mazungumzo yaliyafanyika jana kati ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mwenyeji wake wa Russia Vladimir Putin mjini Moscow.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS