-
Zoezi la upigaji kura kumchagua rais wa Russia limeanza leo
Mar 15, 2024 07:40Zoezi la upigaji kura wa nchi nzima wa kumchagua rais wa Russia limeanza rasmi leo.
-
Russia: Islamphobia ni aina ya ubaguzi usiyokubalika
Mar 14, 2024 07:04Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amesema kuwa Moscow inavihesabu vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu (Islamphobia) kuwani aina ya ubaguzi isiyokubalika.
-
Iran, China na Russia zafanya mazoezi ya tano ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman
Mar 12, 2024 12:30Majeshi ya wanamaji ya Iran, China na Russia leo yameanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman, yakiwa ni mazoezi ya tano ya pamoja kufanywa na majeshi hayo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Msemaji wa Rais wa Russia: Iran ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo
Mar 08, 2024 10:37Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo.
-
Medvedev: Hakika Ukraine ni sehemu ya Russia, inapasa irudi nyumbani
Mar 06, 2024 03:37Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amesema Ukraine ni sehemu ya nchi hiyo na amefutilia mbali suala la kufanya mazungumzo ya amani na uongozi wa sasa wa Ukraine.
-
Russia yatungua makumi ya droni za Ukraine
Mar 04, 2024 02:28Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imezidhibiti na kuzitungua ndege kadhaa zisizo na rubani za Ukraine (Droni) katika Peninsula ya Crimea.
-
Putin aonya juu ya hatari "halisi" ya vita vya nyuklia baina ya Russia na Magharibi
Mar 01, 2024 06:47Rais Vladmir Putin wa Russia ameziambia nchi za Magharibi kuwa, ziko hatarini kuzusha vita vya nyuklia iwapo zitatuma wanajeshi kupigana nchini Ukraine, akionya kwamba Moscow ina silaha za kushambulia maeneo ya Magharibi.
-
Ukraine yakanusha uvumi kwamba Iran imeiuzia Russia makombora ya balestiki
Feb 26, 2024 11:47Mkuu wa Idara ya Intelijensia ya Jeshi la Ukraine amekadhibisha uvumi kwamba Iran imeiuzia Russia makombora ya balestiki kwa ajili ya kutumika katika vita vya Ukraine.
-
Kremlin: Biden ameifedhehesha Marekani kwa kumtusi Putin
Feb 23, 2024 03:30Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema Rais Joe Biden wa Marekani amelifedhehesha taifa lake analoliongoza kwa hatua yake ya kumtukana hadharani Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Wananchi wa Ulaya wakata tamaa, hawatarajii kupata ushindi Ukraine
Feb 22, 2024 11:32Matokeo ya uchunguzi wa karibuni kabisa wa maoni yanaonesha kuwa, ni asilimia 10 tu ya wananchi wa nchi za Ulaya wanaoamini kwamba Ukraine inaweza kushinda kwenye vita vyake na Russia.