-
Ruwaza Njema (11)
Feb 06, 2019 14:17Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 11 ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambapo kwa leo tutazungumzia sifa njema ya Mtume Mtukufu (saw) ambaye ni mbora wa viumbe, ya kusamehe watu na kuwaongoza kwenye heri kuu, hata tunapokuwa na uwezo wa kulipiza kisasi kwa mabaya waliyotufanyia.
-
Ruwaza Njema (10)
Feb 06, 2019 14:09Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kusikiliza kipindi kingine katika mfululizo wa vipindi vya Ruwaza Njema, ambapo huwa tunanufaika na baadhi ya Hadithi katika kufahamu na kufuata mfano mwema wa Mtume Mtukufu (saw) kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na maisha yetu ya kimaanawi na kimaada.
-
Ruwaza Njema (9)
Jan 30, 2019 08:33Assalaam Alaykum. Ni siku nyingine ambayo tumejaaliwa kukutana nanyi tena wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambapo kwa leo tutazungumzia tabia nyingine njema ya mbora wa viumbe, Mtume Mtukufu (saw) kuhusiana na jinsi ya kuamiliana vyema na Watu wa Kitabu yaani Wakristo wanaoishi katika kivuli cha serikali adilifu na inayofuata mafundisho ya Mwenyezi Mungu na namna alivyokuwa akifanya ibada zake, hivyo kuweni nasi hadi mwisho wa kipindi.
-
Ruwaza Njema (8)
Nov 03, 2018 13:05(Kumfuata al-Mustafa (saw) katika maneno na kimya chake)
-
Ruwaza Njema (7)
Nov 03, 2018 13:02(Kumfuata al-Mustafa (saw) katika maneno na kimya chake)
-
Ruwaza Njema (6)
Nov 03, 2018 12:57(Kumuiga al-Mustafa (saw) katika zuhudi na muamala wake mwema)
-
Ruwaza Njema (5)
Nov 03, 2018 12:50(Kumuiga al-Mustafa (saw) katika uadilifu, usawa na kumuhimidi Mwenyezi Mungu)
-
Ruwaza Njema (4)
Nov 03, 2018 12:37(Kumfuata al-Mustafa (saw) katika maneno na kimya chake)
-
Ruwaza Njema (3)
Nov 03, 2018 12:27(Kumfuata al-Mustafa (saw) katika maneno na kimya chake)
-
Ruwaza Njema (2)
Nov 03, 2018 12:20(Kumfuata al-Mustafa (saw) mwenye huruma na rafiki wa watu)