-
Watoto elfu mbili wahanga wa uvamizi wa kijeshi wa Saudia Yemen
Mar 04, 2016 11:13Mratibu wa Oparesheni za Masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa watoto wasiopungua elfu mbili wameuawa na kujeruhiwa huko Yemen tangu Saudi Arabia ianzishe mashambulizi ya kijeshi nchini humo mwaka uliopita.
-
Kuendelea mapigano katika maeneo tofauti ya Yemen
Mar 04, 2016 02:11Licha ya Umoja wa Mataifa kuonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Yemen kutokana na mashambulio yanayofanywa na kundi linalojiita muungano wa Waarabu unaoongozwa na Saudia, mashambulio ya anga na mizinga ya kundi hilo yangali yanaendelea kwenye kona mbalimbali za Yemen.
-
Juhudi zilizofeli za Saudi Arabia huko Yemen
Mar 02, 2016 10:56Juhudi za jeshi la Saudi Arabia za kuukomboa mji wa al Rabia katika mkoa wa Asir kusini mwa nchi hiyo zimegonga mwamba hadi sasa.
-
Marekani, Israel, Saudia zinachochea fitna Mashariki ya Kati
Mar 01, 2016 23:20Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinachochea fitna na mizozo ya kimadhehebu katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati.
-
Nigeria yaitaka Saudi Arabia itoe ripoti ya mwisho kuhusu Maafa ya Mina
Feb 28, 2016 23:07Rais wa Nigeria ameitaka Saudi Arabia iwasilishe ripoti ya mwisho kuhusu chunguzi zilizofanywa kuhusiana na Maafa ya Mina.
-
'Sudan inaiuzia Saudia habari za kipelelezi kuhusu Hizbullah'
Feb 27, 2016 22:56Gazeti la al Akbar la Lebanon limeripoti kuwa, serikali ya Sudan inaiuzia Saudi Arabia habari za kipelelezi kuhusu mbinu zinazotumiwa na Hizbullah katika masuala mbalimbali hususan mbinu za harakati hiyo ya Kiislamu za kupambana na utawala ghasibu wa Israel.
-
Hizbullah: Lebanon haitatawaliwa na Saudia
Feb 27, 2016 13:23Harakati ya Hizbullah imeonya kuwa Lebanon kamwe haitakuwa chini ya mamlaka ya Saudi Arabia licha ya kuwepo mashinikizo ya ufalme huo kwa maafisa wa Lebanon.
-
Saudia, Uturuki ni waungaji mkono wakuu wa ISIS
Feb 26, 2016 23:32Mshauri wa Rais wa Syria amesema kuwa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh linaweza kuangamizwa haraka iwapo baadhi ya nchi za eneo hasa Uturuki na Saudi Arabia zitaacha kuliunga mkono kifedha na kisiasa kundi hilo la wakufurishaji.
-
EU yataka Saudia iwekewe vikwazo vya silaha
Feb 25, 2016 11:59Bunge la Ulaya limepasisha azimio la kutaka Saudi Arabia iwekewe vikwazo vya silaha kutokana na vikosi vya utawala wa Aal-Saud kushadidisha hujuma zake dhidi ya taifa la Yemen.
-
Al Arabiya yamtimua aliyerusha filamu kuhusu Nasrullah
Feb 23, 2016 22:16Mkurugenzi wa Kanali ya Televisheni ya Kiarabu ya Al Arabiya amefutwa kazi kwa kutangaza filamu ya matukio ya kweli ambayo ilionekana kumuunga mkono kiongozi wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.