-
Upinzani Sudan Kusini wataka mazungumzo ya amani yafanyike Ethiopia
Mar 20, 2018 11:33Mrengo mkuu wa upinzani nchini Sudan Kusini umepinga mashinikizo ya serikali ya Juba ya kuitaka Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD ibadilishe sehemu ya kufanyika mazungumzo ya amani kutoka Addis Ababa, Ethiopia.
-
Umoja wa Mataifa waongeza muda wa oparesheni zake za amani Sudan Kusini
Mar 16, 2018 03:24Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha uamuzi wa kuongezea muda Oparesheni Maalumu ya Kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS) hadi tarehe 15, Machi mwaka 2019.
-
WFP: Watu milioni 7 wanakabiliwa na njaa Sudan Kusini
Mar 13, 2018 23:14Zaidi ya watu milioni saba kati ya milioni 12 nchini Sudan Kusini huenda wakakabiliwa na uhaba wa chakula katika miezi michache ijayo kusipopatikana misaada ya kibinadamu.
-
Sudan: Tuko tayari kupanua ushirikiano wetu na nchi ya Qatar
Mar 12, 2018 03:52Ibrahim Ghandour, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Sudan amesema kuwa, nchi yake iko tayari kustawisha ushirikiano wake na nchi ya Qatar.
-
Homa ya uti wa mgongo yaendelea kuaw watu Sudan Kusini
Mar 09, 2018 00:20Afisa mmoja wa masuala ya kiutaalamu wa Shirika la Afya Duniani WHO ameripoti habari ya kupoteza maisha karibu watu 30 kutokana na homa ya uti wa mgongo nchini Sudan Kusini.
-
Sudan Kusini yaomba uanachama Arab League
Mar 06, 2018 23:48Sudan Kusini jana Jumanne iliwasilisha ombi rasmi la kuwa mwanachama katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Sudan Kusini yapinga sera za Magharibi za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo
Mar 06, 2018 13:46Serikali ya Sudan Kusini imepinga vikali sera za nchi za Magharibi za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo na kutahadharisha kuwa, mashinikizo ya nchi hizo hayawezi kusaidia mwenendo wa kurejesha amani huko Sudan Kusini.
-
IGAD yaunga mkono vikwazo dhidi ya wanaovuruga amani Sudan Kusini
Mar 02, 2018 04:09Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD imetangaza kuwa inaunga mkono hatua ya kuwekewa vikwazo viongozi na shakhsia wote wanaokwamisha jitihada za kupatiwa ufumbuzi mgogoro nchini Sudan Kusini.
-
Sudan Kusini yakaribia kukumbwa na baa jingine la njaa
Feb 26, 2018 11:05Karibu theluthi mbili ya jamii nzima ya watu wa Sudan Kusini wanahitaji misaada ya chakula ili kukabiliana na njaa. Hayo yameelezwa na maafisa wa serikali na Umoja wa Mataifa.
-
Walinda amani Sudan Kusini wakumbwa na kashfa ya kimaadili
Feb 26, 2018 03:51Baadhi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanakabiliwa na tuhuma za kufanya ufisadi wa kimaadili katika mji wa Wau wa Sudan Kusini.