Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • UN: Yamkini maafisa wa jeshi la Sudan Kusini wametenda jinai za kivita

    UN: Yamkini maafisa wa jeshi la Sudan Kusini wametenda jinai za kivita

    Feb 24, 2018 23:18

    Wakaguzi wa umoja wa Mataifa wanasema zaidi ya maafisa 40 wa Jeshi la Sudan Kusini wanaaminika kutenda jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu.

  • SAUTI, Rais Salva Kiir aweka wazi kwamba Marekani ndio chanzo cha mzozo na mauaji Sudan Kusini

    SAUTI, Rais Salva Kiir aweka wazi kwamba Marekani ndio chanzo cha mzozo na mauaji Sudan Kusini

    Feb 23, 2018 13:27

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametamka bayana kwamba Marekani ndio ambayo inasababisha ukosefu wa amani ndani ya nchi yake changa zaidi barani Afrika.

  • UN yakosoa ukandamizaji wa waandishi habari Sudan Kusini

    UN yakosoa ukandamizaji wa waandishi habari Sudan Kusini

    Feb 23, 2018 00:22

    Umoja wa Mataifa umekosoa mienendo na hatua zinazochukuliwa na serikali ya Sudan Kusini dhidi ya waandishi wa habari.

  • UN: Maelfu ya Wasudani Kusini watakimbilia Sudan mwaka huu wa 2018

    UN: Maelfu ya Wasudani Kusini watakimbilia Sudan mwaka huu wa 2018

    Feb 17, 2018 04:45

    Ofisi ya kuratibu masuala ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema katika ripoti yake mpya kwamba karibu wakimbizi laki mbili kutoka Sudan Kusini wataingia nchi jirani ya Sudan mwaka huu wa 2018.

  • Umoja wa Mataifa waonyesha matumaini ya kufikiwa makubaliano ya amani Sudan Kusini

    Umoja wa Mataifa waonyesha matumaini ya kufikiwa makubaliano ya amani Sudan Kusini

    Feb 16, 2018 04:15

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Sudan Kusini ameeleza matarajio yake juu ya kufikiwa makubaliano ya amani ya kuhitimisha machafuko nchini humo katika mazungumzo yanayoendelea hivi sasa mjini Addis Abab, Ethiopia.

  • Msemaji wa waasi wa Sudan Kusini ahukumiwa kifo

    Msemaji wa waasi wa Sudan Kusini ahukumiwa kifo

    Feb 13, 2018 04:40

    Msemaji wa waasi nchini Sudan Kusini, James Gatdet Dak amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya uhaini.

  • Malalamiko dhidi ya Trump Sudan Kusini

    Malalamiko dhidi ya Trump Sudan Kusini

    Feb 07, 2018 08:55

    Watu wa Sudan Kusini wamefanya maandamano nchini humo wakilalamikia amri mpya ya Rais Doland Trump wa Marekani ya kupiga marufuku jeshi la nchi hiyo ya Kiafrika kuuziwa silaha.

  • Mwandishi habari wa Marekani apigwa na waandamanaji Sudan Kusini

    Mwandishi habari wa Marekani apigwa na waandamanaji Sudan Kusini

    Feb 06, 2018 23:05

    Wananchi waliokuwa na hasira Jumanne walimpiga vibaya mwandishi habari wa Marekani katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba wakati wa maandamano ya kupinga vikwazo vya silaha vya Marekani dhidi ya nchi hiyo.

  • Sudan Kusini yamuita nyumbani balozi wake kutoka Marekani

    Sudan Kusini yamuita nyumbani balozi wake kutoka Marekani

    Feb 05, 2018 01:07

    Sudan Kusini imemuita nyumbani balozi wake wa Marekani, huku mzozo kati ya Washington na Juba kuhusu kuwekewa vikwazo vya silaha nchi hiyo changa zaidi barani Afrika ukipamba moto.

  • Raia wa Sudan Kusini waendelea kuikimbia nchi yao kutokana na machafuko

    Raia wa Sudan Kusini waendelea kuikimbia nchi yao kutokana na machafuko

    Jan 31, 2018 23:09

    Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR ameelezea ongezeko la raia wa Sudan Kusini wanaokimbia nchi yao kuelekea nchi jirani ya Sudan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS