-
Mkuu wa Mahakama za Kijeshi Sudan Kusini ajiuzulu, aishutumu serikali
Feb 18, 2017 12:51Mkuu wa Mahakama za Kijeshi nchini Sudan Kusini, Kanali Khalid Ono Loki amejiuzulu na kueleza kwamba uingiliaji unaofanywa kutoka ngazi za juu umesababisha kutowezekana kuwachukulia hatua za kuwaadhibu askari wanaotuhumiwa kufanya ubakaji na mauaji wakati wa vita vya ndani nchini humo.
-
Waziri ajiuzulu Sudan Kusini, ajiunga na kundi la waasi
Feb 17, 2017 11:05Waziri wa Leba wa Sudan Kusini ametangaza kujiuzulu na kusema kuwa sasa ataunga mkono harakati zinazofanywa na waasi wanaomuunga mkono Riek Machar, Makamu wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.
-
UN: Wakimbizi waliotoweka Sudan Kusini hatima yao haijulikani
Feb 17, 2017 04:06Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi ulionao kutokana na kutokuweko taarifa za kutosha kuhusiana na hali ya wakimbizi waliotoweka huko katika nchi ya Sudan Kusini.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa na wasi wasi juu ya Sudan Kusini
Feb 15, 2017 09:25Kufuatia kuendelea mapigano nchini Sudan Kusini, Umoja wa Mataifa umezitaja taathira za vita vya ndani nchini humo kuwa ni janga na kuonya juu ya uwezekano wa kuendelea mapigano hayo kwa miaka kadhaa ijayo.
-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Sudan Kusini
Feb 14, 2017 09:39Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu machafuko na mapigano yanayoshadidi zaidi nchini Sudan Kusini.
-
Naibu Mkuu wa Majeshi Sudan Kusini ajiuzulu kulalamikia ubakaji na udhalilishaji raia
Feb 12, 2017 12:48Naibu Mkuu wa Majeshi ya Sudan Kusini anayehusika na masuala ya kilojistiki Luteni Jenerali Thomas Cirillo Swaka amejiuzulu kulalamikia vitendo vya unyanyasaji vikiwemo vya udhalilishaji wa kingono unaofanywa na vikosi vya usalama dhidi ya raia na kile alichokiita kuongezeka upendeleo wa kikabila jeshini.
-
UN yatahadharisha kuhusu machafuko Sudan Kusini
Feb 10, 2017 21:54Umoja wa Mataifa umevitahadharisha vikosi vya jeshi la serikali na wapinzani huko Sudan Kusini kuhusu kuendeleza hali ya machafuko nchini humo.
-
UN: Wakimbizi 52,000 wa Sudan Kusini wameingia Uganda mwezi jana
Feb 09, 2017 03:56Umoja wa Mataifa umesema wakimbizi 52,000 raia wa Sudan Kusini waliingia nchini Uganda mwezi uliopita pekee wa Januari, kutokana na kuendelea kushuhudiwa mauaji na machafuko katika nchi yao.
-
Salva Kiir asema atagombea urais Sudan Kusini mwakani
Feb 08, 2017 00:04Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametangaza kuwa atawania kiti cha rais kwa muhula mwengine katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwakani.
-
Rais wa Sudan Kusini: Askari wanaobaka inapasa wauawe
Feb 07, 2017 00:29Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema askari wanaowabaka raia inapasa wauawe kwa kupigwa risasi. Rais Kiir alitangaza msimamo huo jana katika hotuba aliyotoa wakati alipotembelea mji wa Yei.