-
Waasi Sudan Kusini wadai Misri imewashambulia
Feb 05, 2017 03:56Waasi Sudan Kusini wameituhumu Misri kuwa imetekeelza hujuma za angani katika ngome zao huku wakuu wa Cairo wakikanusha kufanya hivyo.
-
Waasi Sudan Kusini waituhumu Misri kuwa imeshambulia ngome zao
Feb 05, 2017 00:58Waasi wa Sudan Kusini wameituhumu Misri kuwa imeshambulia kwa mabomu maeneo na ngome zao na kutahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya kieneo.
-
Mamia ya raia wa Sudan Kusini wakimbilia Uganda kila siku
Feb 04, 2017 00:25Mamia ya raia wa Sudan Kusini wanakimbilia nchini Uganda kila siku kukimbia mapigano ya kikabila nchini mwao.
-
Mfalme wa Morocco aitembelea Sudan Kusini
Feb 02, 2017 03:48Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco yuko nchini Sudan Kusini katika ziara ya siku tatu iliyoanza jana Jumatano, siku moja baada ya nchi hiyo kurejea katika Umoja wa Afrika.
-
Kushadidi mgogoro wa Sudan Kusini baada ya kusimamishwa shughuli za mashirika ya kimataifa
Feb 01, 2017 07:23Sambamba na kuendelea mgogoro wa Sudan Kusini na kuongezeka machafuko katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika, shughuli za jumuiya na mashirika ya kimataifa zimesitishwa na kuifanya hali ya wananchi kuwa mbaya zaidi.
-
Mapigano mapya yaibuka eneo la Malakal, Sudan Kusini
Feb 01, 2017 04:12Umoja wa Mataifa umesema mapigano mapya yameibuka katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Malakal huko Sudan Kusini.
-
Masuala ya Afrika, ajenda kuu ya kikao cha viongozi wa AU Addis Ababa
Jan 30, 2017 08:44Kikao cha 28 cha viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kimefanyika leo Jumatatu mjini Addis Ababa Ethiopia kwa shabaha ya kujadili masuala na matatizo ya nchi za Afrika hususan migogoro ya Sudan Kusini na uchaguzi wa mkuu wa Kamisheni ya AU.
-
Sudan Kusini yapinga kuweko vikosi ajinabi katika uwanja wa ndege wa Juba
Jan 25, 2017 11:38Rais wa Sudan Kusini kwa mara nyingine tena amesema nchi yake inapinga kutumwa wanajeshi wa nchi za eneo katika uwanja wa kimataifa wa Juba mji mkuu wa nchi hiyo.
-
UN kuchunguza uvunjaji sheria wa maafisa wake Darfur Sudan
Jan 21, 2017 10:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unafanya uchunguzi kuhusu madai kwamba maafisa wake wa kulinda amani katika eneo la Darfur la magharibi mwa Sudan, wamehamisha silaha kinyume cha sheria.
-
António Guterres: Sudan Kusini ishinikizwe kuwakubali askari wa kusimamia amani
Jan 18, 2017 04:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres ametilia shaka suala la kutumwa askari zaidi wa umoja huo nchini Sudan Kusini akisema kuwa, serikali ya nchi hiyo hairidhii suala hilo.