-
Raia Sudan Kusini waendelea kuuawa ovyo
Oct 21, 2016 00:48Maafisa wa serikali ya Sudan Kusini wametangaza kuwa, raia wasiopungua 15 wameuawa katika kijiji kimoja kilichoko karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.
-
Riek Machar: Nitarejea Sudan Kusini liwe liwalo
Oct 18, 2016 04:46Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini, Riek Machar amesema karibuni hivi atarejea nchini mwake akisitiza kuwa angali Makamu wa Rais wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Onyo la Rais wa Sudan Kusini kwa kiongozi wa waasi
Oct 17, 2016 06:36Rais wa Sudan Kusini amemuonya Riek Machar kiongozi wa waasi wa nchi hiyo na kumtaka ajiweke kando na siasa pamoja na madaraka.
-
Machar: Nataka kukutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini
Oct 17, 2016 00:59Makamu wa rais wa zamani na kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini amesema anataka kuonana ana kwa ana na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ili amueleze 'mambo nyeti' juu ya mgogoro wa kisiasa na mapigano yanayoendelea katika nchi yake.
-
JMEC yalaani machafuko ya ndani Sudan Kusini
Oct 14, 2016 04:34Kamisheni ya kusimamia na kufuatilia makubaliano ya amani nchini Sudan Kusini, JMEC imekosoa vikali machafuko na ukandamizaji wa haki za binaadamu unaoendela kufanyika katika nchi hiyo.
-
Rais wa Sudan Kusini akanusha uvumi kuwa ameuawa
Oct 13, 2016 04:20Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amelazimika kujitokeza hadharani kukanusha uvumi ulioenea nchini humo kwamba ameuawa.
-
Kiongozi wa waasi Sudan Kusini aelekea Afrika Kusini
Oct 12, 2016 12:24Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini ambaye alikimbilia Khartoum baada ya mapigano makali yaliyotokea katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba, Julai mwaka huu baina ya wafuasi wake na jeshi la serikali ya Rais Salva Kiir, ameondoka Sudan na kuelekea Afrika Kusini.
-
UN yaitaka Sudan Kusini ikubali kutumwa askari 4000 wa kieneo
Oct 12, 2016 04:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka Sudan Kusini itekeleze ahadi iliyotoa, ya kukubali makubaliano ya kimataifa ya kutumwa askari 4,000 wa kieneo nchini humo.
-
Madaktari nchini Sudan wafanya mgomo kulalamikia maslahi yao ya kazi
Oct 07, 2016 00:55Madaktari nchini Sudan wamefanya mgomo kuishinikiza serikali ya nchi hiyo kuboresha maslahi yao ya kazi.
-
Mjumbe wa Machar: IGAD inachochea machafuko S/Kusini
Oct 04, 2016 04:36Mpambe wa karibu wa Riek Machar, makamu wa zamani wa rais wa Sudan Kusini ameielekezea kidole cha lawala Jumuiya ya Ushirikiano wa Kieneo ya Mashariki mwa Afrika IGAD kutokana na machafuko na mapigano yanayoshudiwa katika nchi hiyo changa zaidi duniani.