-
Umoja wa Mataifa: Hali ya wakimbizi wa Yei Sudan Kusini ni mbaya mno
Sep 30, 2016 11:18Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na hali mbaya wanayokabiliwa nayo wakimbizi katika mji wa Yei wa Sudan Kusini.
-
Udiplomasia wa Kihollywood au Hujuma ya Kisiasa?
Sep 28, 2016 05:48Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki. Ni matumaini yangu kuwa utaendelea kuwa nami hadi mwisho wa makala ya leo itakayozungumzia nafasi ya Hollywood katika siasa za nje za Marekani.
-
Sudan yaunga mkono kutumwa wanajeshi wa Kiafrika nchini Sudan Kusini
Sep 28, 2016 03:39Serikali ya Sudan imesema kuwa inaunga mkono kutumwa wanajeshi wa kulinda amani wa Kiafrika huko Sudan Kusini.
-
Tangazo la vita la Riek Machar dhidi ya serikali ya Sudan Kusini
Sep 26, 2016 08:43Makamu wa zamani wa Rais wa Sudan Kusini amesema kuwa, makubaliano ya amani na serikali ya Rais Salva Kiir hayana itibari yoyote na hivyo amewataka wafuasi wake kuanzisha vita upya.
-
Sudan Kusini yailaumu Marekani kwa kuendelea kuiwekea vikwazo
Sep 24, 2016 01:19Serikali ya Sudan Kusini imeilaumu Marekani kwa siasa zake zisizo sahihi kuhusiana na nchi hiyo na kusema, Juba inahitajia misaada mbalimbali ikiwemo ya silaha na si vikwazo.
-
Sudan inawahifadhi wakimbizi wa S/Kusini karibu laki nne
Sep 22, 2016 00:48Sudan imetangaza kuwa inawahifadhi wakimbizi wa Sudan Kusini karibu laki nne ambao wamelazimika kuikimbia nchi yao kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Mivutano ya kisiasa yaongezeka kati ya Sudan na Sudan Kusini
Sep 21, 2016 10:31Duru za nchini Sudan zimekosoa upuuzaji unaofanywa na Sudan Kusini katika kuwadhibiti waasi waliopo katika maeneo ya mipaka ya nchi mbili hizo.
-
Wakimbizi wa Sudan Kusini zaidi ya 600 wafukuzwa Kongo
Sep 13, 2016 23:01Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kimearifu kuhusu kufukuzwa wakimbizi wa Sudan Kusini zaidi ya 600 huko mashariki kaskazini mwa Kongo.
-
Kiir, Machar wajitajirisha huku vita vikiendelea Sudan Kusini
Sep 13, 2016 02:07Wanasiasa wa Sudan Kusini wamepata utajiri wa mamilioni ya dola wakiwa pamoja na familia zao huku raia wa kawaida wakiendelea kupoteza maisha na kupata masaibu kutokana na kuendelea vita na njaa nchini humo.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuhusika jeshi la Sudan Kusini katika machafuko
Sep 09, 2016 08:49Umoja wa Mataifa umesema kuwa, jeshi la Sudan Kusini lina mkono katika machafuko yanayojiri nchini humo.