-
UN kuchunguza radiamali ya walinda amani kufuatia kushambuliwa hoteli moja S/Kusini
Aug 17, 2016 03:14Ban Ki-moon Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameanzisha uchunguzi kuhusu tuhuma zinazowakabili askari jeshi wa kulinda amani huko Sudan Kusini (UNMISS) kwamba walishindwa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na shambulio la watu wenye silaha dhidi ya hoteli moja huko Juba.
-
Rais Kiir: Askari wa nchi za Afrika wataanza kuwekwa katika mipaka ya Sudan na Sudan Kusini
Aug 15, 2016 23:24Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema kuwa, nchi yake imejiandaa kwa ajili ya kuwekwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika katika mipaka ya pamoja na nchi ya Sudan.
-
Kiir akataa azimio la kutumwa askari 4,000 zaidi Sudan Kusini
Aug 14, 2016 03:10Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amekataa azimio lililopasishwa Ijumaa iliyopita na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutumwa askari 4,000 zaidi wa kigeni nchini humo.
-
Pendekezo la Marekani kushadidisha mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini
Aug 12, 2016 10:40Imeelezwa kuwa utekelezwaji wa pendekezo la Marekani nchini Sudan Kusini utashadidisha mgogoro wa kisiasa wa taifa hilo changa zaidi barani Afrika.
-
UN yaonya juu ya hali mbaya ya kibinaadamu nchini Sudan Kusini
Aug 11, 2016 08:53Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshusika na Uratibu wa Masuala ya Kibinaadamu na Misaada ya Dharura ameonya juu ya ukosefu wa makazi na ukame huko nchini Sudan Kusini.
-
UN yakaribisha hatua ya Juba kukubali kutumwa askari wa kikanda
Aug 08, 2016 03:19Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya Sudan Kusini kukubali pendekezo la kutumwa askari wa kieneo nchini humo kufuatia mapigano ya ndani kati ya askari watiifu kwa Rais Salva Kiir na wafuasi wa aliyekuwa makamu wake, Riek Machar.
-
Sudan Kusini yakubali kutumwa askari wa kieneo nchini
Aug 06, 2016 02:25Serikali ya Sudan Kusini imekubali pendekezo la jumuiya ya kieneo ya IGAD la kutumwa askari wa kulinda amani nchini humo, suala ambalo awali lilikuwa limepingwa vikali na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo.
-
UN: Maafisa usalama Sudan Kusini wameua na kubaka
Aug 04, 2016 10:37Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Sudan Kusini kuwachukulia hatua za kisheria maafisa usalama walioua raia na kunajisi wanawake na mabinti wadogo katika machafuko ya mwezi uliopita katika mji mkuu Juba.
-
Makumi wapoteza maisha katika mafuriko makali nchini Sudan
Aug 04, 2016 03:31Makumi ya watu wameripotiwa kupoteza maisha yao katika mafuriko makubwa yaliyoikumba mikoa 13, kufuatia kunyesha mvua kali nchini humo.
-
Rais wa Sudan Kusini awapiga kalamu nyekundu mawaziri sita wa Machar
Aug 03, 2016 09:30Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewapiga kalamu nyekundu mawaziri sita wa upande wa makamu wake wa zamani wa rais yaani Riek Machar.