-
UNHCR: Maelfu wamekimbia machafuko Sudan Kusini
Aug 02, 2016 21:53Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa maelfu ya watu wamekimbia machafuko na mapigano mapya yaliyozuka nchini Sudan Kusini huku kukiripotiwa matukio ya mauji ya umati, uporaji na watoto wadogo kushirikishwa vitani kwa nguvu.
-
Kuzidi kuwa mbaya hali ya mambo huko Sudan Kusini
Aug 02, 2016 11:57Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali ya mambo katika mji mkuu wa Sudan Kusini Juba imezidi kuwa mbaya.
-
Waziri mashuhuri wa upande wa upinzani Sudan Kusini ajiuzulu
Aug 02, 2016 11:14Waziri mashuhuri wa serikali ya Sudan Kusini kutoka upande wa upinzani amejiuzulu wadhifa wake, hatua iliyotajwa kuwa ni pigo kubwa kwa makubaliano ya amani yanayolegalega ya nchi hiyo.
-
Waziri: Makubaliano ya amani Sudan Kusini yamevunjika
Aug 02, 2016 02:54Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini umechukua mwelekea mpya baada ya Waziri wa Kilimo wa nchi hiyo kutoka upande wa upinzani kujiuzulu na kusisitiza kuwa makubaliaono ya amani yaliyosainiwa na pande mbili yamevunjika.
-
Juba yapinga kutumwa wanajeshi wa kulinda amani katika mipaka ya Sudan mbili
Jul 31, 2016 23:28Sudan Kusini imesisitiza kuwa kikosi cha kulinda amani cha Kiafrika hakiwezi kutumwa katika mipaka ya pamoja ya nchi hiyo na Sudan.
-
Sudan Kusini kuzishawishi UN na IGAD zikubali mabadiliko ya uongozi
Jul 31, 2016 11:49Serikali ya umoja wa kitaifa ya Sudan Kusini imemteua Makamu mpya wa Rais aliyechukua nafasi ya Riek Machar kuufafanulia Umoja wa Mataifa sababu za kufanyika mabadiliko ya uongozi ndani ya chama cha upinzani cha SPLM-IO.
-
Ombi la mashirika ya utoaji misaada Sudan Kusini kwa Umoja wa Mataifa
Jul 30, 2016 10:26Mashirika yanayofanya kazi ya kutoa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Kusini yametoa taarifa ya pamoja na kutangaza kuwa Umoja wa Mataifa unapaswa kuandaa mazingira ya ufikishaji misaada kwa waathirika wa vita vya ndani nchini humo.
-
Mashirika ya misaada Sudan Kusini yaitaka UN kuwasaidi walioathiriwa na vita
Jul 29, 2016 22:09Mashirika ya misaada ya kibinadamu yanayohudumu Sudan Kusini yameutaka Umoja wa Mataifa uandae uwanja mzuri wa kuwasaidia raia walioathiriwa na vita vya ndani nchini humo.
-
Kiir: Nafasi ya Machar ilijazwa na SPLM yenyewe, sio mimi
Jul 28, 2016 11:01Serikali ya Sudan Kusini imepuuzlilia mbali onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu uteuzi wa viongozi wa kisiasa nchini humo na haswa uteuzi wa Makamu wa Rais mpya aliyechukua nafasi ya Riek Machar.
-
Sudan Kusini yakanusha tetesi za kuuawa Machar
Jul 28, 2016 00:21Sudan Kusini imekanusha tetesi kwamba kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo Riek Machar ameuawa.