-
Kesi 290 za kipindupindu zaripotiwa Sudan Kusini
Jul 26, 2016 22:11Wizara ya Afya Sudan Kusini imethibitisha kutokea mripuko wa kipindupindu nchini humo huku kesi karibu 300 za ugonjwa huo zikiripotiwa.
-
Kuongezeka mgawanyiko wa kisiasa Sudan Kusini
Jul 25, 2016 06:48Mgawanyiko wa kisaisa umeshadidi huko Sudan Kusini kufuatia Riek Machar kiongozi wa waasi wa nchi hiyo kumfukuza Taban Deng Gai kwa upande mmoja; na matamshi ya kiwanagenzi ya Deng Gai na sisitizo lake la kusalia katika nafasi yake kwa upande wa pili.
-
Machar apuuza makataa ya masaa 48 ya Kiir kumtaka arejee Juba
Jul 22, 2016 23:39Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amekataa kuheshimu makataa ya masaa 48 aliyopewa na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo awe amerejea katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.
-
Wapinzani: Kuna njama ya kujaza nafasi ya Machar Sudan Kusini
Jul 24, 2016 03:21Wafuasi wa karibu wa Riek Machar, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini wamedai kuwa Rais Salva Kiir anapanga njama ya kujaza nafasi ya Machar ambaye kwa sasa hayuko katika mji mkuu Juba.
-
UNHCR: Raia wengi wa Sudan Kusini wamekimbilia nchini Uganda
Jul 22, 2016 03:33Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, machafuko ya hivi karibuni nchini Sudan Kusini, yamewafanya raia wengi wa nchi hiyo kukimbilia nchini Uganda.
-
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amtaka Machar arejee mjini Juba
Jul 21, 2016 23:46Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemtaka Riaek Machar, Makamu wake wa Rais kurejea mjini Juba, mji mkuu wa nchi hiyo na kwamba njia hiyo itasaidia kurejesha usalama mjini hapo.
-
UN yazikosoa nchi za Ulaya kwa kuondoa majeshi yao Sudan Kusini
Jul 21, 2016 01:12Umoja wa Mataifa umezikosoa nchi tatu za Ulaya kwa kuondoa askari wao katika nchi iliyotumbukia tena katika mapigano ya ndani ya Sudan Kusini.
-
Utulivu wa kiasi fulani warejea Sudan Kusini
Jul 20, 2016 11:40Duru za habari zimearifu kuwa hali ya utulivu wa kiasi fulani imerejea huko Sudan Kusini kufuatia uamuzi uliochukuliwa na Umoja wa Afrika wa kutuma wanajeshi wa kulinda amani nchini humo.
-
Rais wa Uganda apinga vikwazo vya silaha dhidi ya Sudan Kusini
Jul 18, 2016 09:37Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepinga mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuiwekea Sudan Kusini vikwazo vya silaha na kusema hatua hiyo italidhoofisha jeshi la nchi hiyo ambalo linakabiliana machafuko mapya.
-
UNHCR: 70% ya wakimbizi wa Sudan Kusini ni watoto
Jul 18, 2016 00:13Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi wa la Umoja wa Mataifa limeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la wakimbizi wa Sudan Kusini na uhaba wa fedha za kuwahudumia wakimbizi hao; na kufichua kuwa asilimia 70 ya wakimbizi hao ni watoto wadogo.