Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Syria: UN inatia siasa kwenye masuala ya kibinadamu nchini humo

    Syria: UN inatia siasa kwenye masuala ya kibinadamu nchini humo

    Jun 04, 2016 03:17

    Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa hatua ya Baraza la Usalama la umoja huo kutia kile alichokitaja kuwa siasa kuhusu hali ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Damascus yakadhibisha kupokea rasimu ya katiba

    Damascus yakadhibisha kupokea rasimu ya katiba

    May 27, 2016 09:49

    Serikali ya Syria imekadhibisha taarifa kuwa imetumiwa rasimu ya Katiba mpya na kusema kuwa, Damascus haijapokea rasimu ya aina yoyote kuhusu katiba ya nchi hiyo.

  • Kaburi jingine la umati lagunduliwa katika mji uliokombolewa wa Palmyra nchini Syria

    Kaburi jingine la umati lagunduliwa katika mji uliokombolewa wa Palmyra nchini Syria

    May 26, 2016 23:00

    Kaburi lingine la umati limegunduliwa katika mji wa Palmyra uliokombolewa hivi karibuni kutoka mikononi mwa magaidi wa kitakfiri, katikati mwa Syria.

  • Afrika Kusini yalaani mashambulizi ya kigaidi nchini Syria

    Afrika Kusini yalaani mashambulizi ya kigaidi nchini Syria

    May 25, 2016 09:10

    Serikali ya Afrika Kusini imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni nchini Syria.

  • Suleimani: Iran imeisaidia Syria kuirejesha nyuma Daesh

    Suleimani: Iran imeisaidia Syria kuirejesha nyuma Daesh

    May 24, 2016 02:34

    Meja Jenerali Qassim Suleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds kinachofungamana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC amesema magaidi wa Daesh wangekuwa tayari wameshaiteka Syria nzima kama usingelikuwa ni msaada wa Iran.

  • Matukio ya hivi karibuni ya Syria kufuatia kuzidi kupata pigo magaidi

    Matukio ya hivi karibuni ya Syria kufuatia kuzidi kupata pigo magaidi

    May 24, 2016 01:28

    Waziri wa Habari wa Syria amesema kuwa, miripuko ya siku za hivi karibuni ikiwemo ile iliyotokea jana magharibi mwa nchi hiyo ni ishara ya wazi kuwa magaidi wameshindwa katika medani za mapambano.

  • Nasrallah ampongeza kamanda wa Hizbullah aliyeuawa Syria

    Nasrallah ampongeza kamanda wa Hizbullah aliyeuawa Syria

    May 20, 2016 23:25

    Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah Sayyed Hassan Nasrallah amempongeza kamanda mwandamizi wa harakati hiyo ya muqawama, Shahidi Mustafa Badreddine aliyeuawa Syria wiki jana na kusema alikuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya Israel.

  • Mamia ya magaidi waangamizana nchini Syria

    Mamia ya magaidi waangamizana nchini Syria

    May 20, 2016 02:33

    Mamia ya magaidi wameangamizana katika viunga vya Damascus, mjini mkuu wa Syria baada ya kutokea mapigano makali baina yao.

  • Rais wa Syria:  Magharibi inataka urafiki na nchi zisizo na uhuru wa kujiamulia

    Rais wa Syria: Magharibi inataka urafiki na nchi zisizo na uhuru wa kujiamulia

    May 19, 2016 11:22

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema inachotaka Magharibi ni kuwa na urafiki na nchi zisizo na uhuru wa kujiamulia wala wa kujitawala.

  • Kongamano la kupinga utawala wa Aal Saudi lafanyika nchini Syria

    Kongamano la kupinga utawala wa Aal Saudi lafanyika nchini Syria

    May 17, 2016 03:22

    Shakhsia kadhaa wa kidini na kisiasa kutoka nchi kadhaa za eneo la Mashariki ya Kati wameshiriki kongamano la kuchunguza jinai za utawala wa Aal Saudi lililofanyika katika mji mkuu wa Syria Damascus.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS