Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Wafanyakazi Waturuki wanaojenga reli ya SGR Tanzania wagoma baada ya mishahara kucheleweshwa

    Wafanyakazi Waturuki wanaojenga reli ya SGR Tanzania wagoma baada ya mishahara kucheleweshwa

    Aug 13, 2023 02:40

    Mamia ya wafanyakazi Waturuki walioajiriwa na kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapı Merkezi katika mradi wa reli ya Tanzania ya Standard Gauge (SGR) wamegoma tangu Agosti 5, wakitaka kulipwa mishahara yao ambayo hawajalipwa kwa muda wa miezi saba iliyopita.

  • IGP wa Tanzania atoa onyo kali kwa wanaochochea maandamano kwa lengo la kuipindua Serikali

    IGP wa Tanzania atoa onyo kali kwa wanaochochea maandamano kwa lengo la kuipindua Serikali

    Aug 11, 2023 13:12

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura amesema, kuna kundi la watu ambao wamepanga kuandaa maandamano nchi nzima ili kuiangusha Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya awamu ya sita kabla ya mwaka 2025.

  • Vyama Tanzania vyataka CHADEMA ifutiwe usajili kwa kuchochea udini na kutusi viongozi

    Vyama Tanzania vyataka CHADEMA ifutiwe usajili kwa kuchochea udini na kutusi viongozi

    Aug 02, 2023 07:59

    Baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya nchi hiyo ivifutie usajili vyama vinavyokiuka sheria katika ufanyaji mikutano ya hadhara, kwa kutoa lugha za kuchochea ubaguzi, udini na kejeli dhidi ya viongozi wa serikali.

  • Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania lafanya mkutano wa dharura kujadili hali tete ya kisiasa nchini

    Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania lafanya mkutano wa dharura kujadili hali tete ya kisiasa nchini

    Aug 01, 2023 13:29

    Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania limefanya mkutano wa dharura kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa nchini humo.

  • Serikali ya Tanzania yaweka pingamizi kesi ya kupinga uwekezaji bandarini

    Serikali ya Tanzania yaweka pingamizi kesi ya kupinga uwekezaji bandarini

    Jul 17, 2023 12:10

    Serikali ya Tanzania imeweka mapingamizi katika kesi iliyofunguliwa na mawakili wanne kupinga uwekezaji wa bandari za nchi hiyo na kuitaka Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya iitupilie mbali kwa madai kwamba iko kinyume cha sheria na Katiba ya nchi.

  • Viongozi wa Afrika wajadili njia za kupunguza rushwa barani humo

    Viongozi wa Afrika wajadili njia za kupunguza rushwa barani humo

    Jul 09, 2023 12:08

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar nchini Tanzania, Hemed Suleman Abdulla amezitaka nchi mbalimbali barani Afrika kushirikiana na kushikamana ili kupunguza vitendo vya rushwa barani humo.

  • Ukatili wa kingono CAR; UN kuwatimua askari 60 wa Tanzania

    Ukatili wa kingono CAR; UN kuwatimua askari 60 wa Tanzania

    Jun 10, 2023 11:22

    Umoja wa Mataifa umesema utawafukuza makumi ya askari wa Tanzania, ambao ni sehemu ya Kikosi cha Kulinda Amani cha moja huo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) kwa kutuhumiwa kufanya unyanyasaji wa kingono.

  • Rais Kagame ziarani Tanzania, aeleza umuhimu wa nchi hiyo kwa Rwanda

    Rais Kagame ziarani Tanzania, aeleza umuhimu wa nchi hiyo kwa Rwanda

    Apr 28, 2023 02:23

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame, jana alianza ziara ya siku mbili nchini Tanzania inayolenga kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili huku akimpongeza mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassa kwa kufanya juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Poda za Kimarekani za Johnson & Johnson zinasababisha saratani, Tanzania yaanzisha uchunguzi

    Poda za Kimarekani za Johnson & Johnson zinasababisha saratani, Tanzania yaanzisha uchunguzi

    Apr 08, 2023 11:28

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linachunguza uwezekano wa kuwepo kwenye soko poda za watoto zinazotengenezwa na kampuni kubwa ya dawa ya Marekani, Johnson & Johnson (J&J), ambazo imebainika kuwa zinasababisha saratani.

  • WHO: Dunia iisaidie Tanzania kukabili Marburg; kesi mpya zaripotiwa E.Guinea

    WHO: Dunia iisaidie Tanzania kukabili Marburg; kesi mpya zaripotiwa E.Guinea

    Mar 24, 2023 07:15

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na kuiunga mkono Tanzania katika kupambana na mripuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS