-
Mgombea urais nchini Tunisia apinga uhusiano wa aina yoyote na Israel
Sep 17, 2019 12:21Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tunisia, wameeneza video ya mgombea urais katika uchaguzi wa sasa nchini humo ambaye ameelezea kupinga kuboreshwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Uchaguzi wa Tunisia na mustakbali usiojulikana wa nchi hiyo
Sep 17, 2019 06:28Wananchi wa Tunisia juzi Jumapili, Septemba 15, 2019 walishiriki kwenye uchaguzi muhimu sana wa Rais ambao ulikuwa wa pili huru baada ya wananchi hao kumpindua dikteta wa muda mrefu wa nchi hiyo, Zine el Abidine Ben Ali mwaka 2011.
-
Uchaguzi wa rais nchini Tunisia waingia duru ya pili
Sep 16, 2019 07:23Matokeo ya awali ya kura zilizohesabiwa katika uchaguzi wa rais uliofanyika jana Jumapili nchini Tunisia, yanaonyesha kwamba kinyume na utabiri wa hapo awali, kiongozi wa chama kisicho mashuhuri na mgombea wa chama cha kujitegemea, wameonekana kuingia duru ya pili ya uchaguzi huo.
-
Wananchi Tunisia washiriki katika uchaguzi ulio mgumu kutabiri mshindi
Sep 15, 2019 12:24Wananchi wa Tunisia leo wameshiriki katika uchaguzi wa rais ambao wataalamu wa mambo wanasema kuwa ni vigumu sana kutabiri mshindi.
-
Uchaguzi wa Rais wa Tunisia na changamoto zake
Sep 14, 2019 11:35Wananchi wa Tunisia kesho Jumapili wataelekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa mapema kumchagua rais wao wa baadaye miongoni mwa wagombea 26 wa kiti hicho ikiwa zimepita siku 50 tangu kuaga dunia Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia.
-
Mgombea urais wa Jumapili ya kesho Tunisia aendelea kushikiliwa mahabusu
Sep 14, 2019 03:07Mahakama ya Rufaa ya Tunisia imekataa ombi la mgombea urais katika kinyang'anyiro cha Jumapili ya kesho, Nabil Karoui la kuachiwa huru kwa ajili ya kushiriki katika uchaguzi huo.
-
Dikteta wa Tunisia Zine El-Abidine Ben Ali yu mahututi hospitalini uhamishoni Saudia
Sep 13, 2019 07:23Dikteta wa Tunisia Zine El-Abidine Ben Ali, ambaye yuko uhamishoni nchini Saudi Arabia tangu alipong'olewa madarakani mwaka 2011 amelazwa hospitalini huku hali yake kiafya ikiripotiwa kuwa ni mbaya sana.
-
Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia kugombea kiti cha urais
Aug 07, 2019 01:24Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia wametangaza kuwa watagombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao nchini humo.
-
Tunisia yatangaza rasmi tarehe ya uchaguzi wa Rais
Aug 01, 2019 02:57Viongozi wa Tunisia wametangaza rasmi tarehe 15 mwezi Septemba kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo kufuatia kuaga dunia Rais wa nchi hiyo, Beji Caid Essebsi.
-
Kuaga dunia rais wa Tunisia na matukio ya usoni
Jul 27, 2019 04:15Kufutia kifo cha Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia, Mohamed Ennaceur (an-Nasir) spika wa bunge la nchi hiyo, ameteuliwa kushikilia kwa muda nafasi hiyo.