-
Beji Caid Essebsi Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini Tunisia afariki dunia
Jul 25, 2019 13:08Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 92.
-
Al Ghannouchi kushiriki uchaguzi wa bunge Tunisia
Jul 22, 2019 02:33Kiongozi wa chama cha Kiislamu cha An Nahdhah cha nchini Tunisia ametangaza rasmi kuwa atashiriki katika uchaguzi ujao wa bunge wa nchi hiyo.
-
Viwiliwili vya wahajiri 79 waliozama baharini Tunisia vyapatikana
Jul 13, 2019 12:36Siku kumi zilizopita, mtumbwi mmoja uliokuwa umejaza wahajirii ulizama karibu na fukwe za Tunisia. Hadi hivi sasa miili 79 ya wahajirii hao imeshaopolewa kutoka baharini.
-
Hilali Nyekundu: Walioaga dunia katika ajali ya boti Tunisia wamepindukia 70
Jul 12, 2019 15:01Shirika la Hilali Nyekundu la Tunisia limeripoti kuwa, idadi ya watu walioaga dunia katika ajali ya boti iliyotokea katika pwani ya nchi hiyo siku chache zilizopita imeongezeka na kufikia watu 72.
-
Omar Sahabou: Imarati ina woga wa wimbi la demokrasia
Jul 07, 2019 02:23Mwanasiasa mashuhuri wa Tunisia kutoka chama cha Nidaa Tunis amesema kuwa serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu ina woga wa kupenya demokrasia na kuingia nchini humo; kwa sababu hiyo inafanya jitihada za kuangamiza demokrasia nchini Tunisia.
-
Makumi wahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama pwani ya Tunisia
Jul 05, 2019 02:34Makumi ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya boti iliyotokea katika pwani ya Tunisia.
-
Vitendo vya ugaidi Tunisia, mada za miripuko zapatikana msikitini kabla ya kuripuka
Jul 04, 2019 09:57Maafisa usalama wa Tunisia wamegundua mada kadhaa za miripuko katika msikiti mmoja nchini humo na kuzitegua kabla ya kuripuka.
-
Bunge la Tunisia lachunguza njama ya mapinduzi nchini humo
Jul 03, 2019 12:47Spika wa Bunge la Tunisia ametangaza kuwa kumeundwa kamati ya kuchunguza njama ya kufanya mapinduzi nchini humo kufuatia hali mbaya ya kiafya ya Rais Beji Caid al Sebsi wa nchi hiyo.
-
Ennahdha: Kunafanyika njama za kutaka kumuua Rais Essebsi wa Tunisia
Jul 02, 2019 08:19Mwenyekiti wa chama cha Kiislamu cha al Ennahdha nchini Tunisia amesema kuwa kunafanyika jitihada za kumuua Rais Beji Caid Essebsi wa nchi hiyo.
-
Watunisia waandamana dhidi ya Israel, waiunga mkono Palestina
Jun 16, 2019 06:59Makumi ya wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchini Tunisia kwa mara nyingine wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu Tunis, kulaani mpango wowote wa kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel, sambamba na kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.