Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Magaidi kadhaa wa Daesh wauawa na maafisa usalama wa Tunisia

    Magaidi kadhaa wa Daesh wauawa na maafisa usalama wa Tunisia

    Mar 20, 2019 04:15

    Maafisa usalama wa Tunisia wamefanikiwa kuwaangamiza wanachama watatu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) karibu na mpaka wa nchi hiyo na Algeria.

  • Jumatano, Machi 20, 2019

    Jumatano, Machi 20, 2019

    Mar 19, 2019 23:00

    Leo ni Jumatano tarehe 13 Rajab 1440 Hijria sawa na tarehe 20 Machi 2019 Milaadia.

  • Waziri wa Afya Tunisia ajiuzulu baada ya watoto 11 kufa hospitalini

    Waziri wa Afya Tunisia ajiuzulu baada ya watoto 11 kufa hospitalini

    Mar 10, 2019 04:07

    Waziri wa Afya wa Tunisia Abdel-Raouf El-Sherif amejiuzulu Jumamosi baad aya watoto 11 kufariki hospitalini bila sababu maalumu katika hospitali moja mjini Tunis.

  • Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia

    Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia

    Mar 01, 2019 23:17

    Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia amefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya njama za kufelisha juhudi za kuimarisha demokrasia nchini humo kupitia hilo za kuyafelisha mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo na kuurejesha madarakani utawala wa kidikteta.

  • Watunisia waendeleza maandamano dhidi ya serikali

    Watunisia waendeleza maandamano dhidi ya serikali

    Feb 18, 2019 11:31

    Baada ya kijana mmoja kufariki dunia, raia wa Tunisia wamemiminika barabarani na kuandamana dhidi ya serikali ya nchi hiyo.

  • Baada ya mgomo, sasa walimu Tunisia wafanya maandamano

    Baada ya mgomo, sasa walimu Tunisia wafanya maandamano

    Feb 07, 2019 11:10

    Maelfu ya walimu nchini Tunisia wamemiminika mabarabarani katika mji mkuu Tunis kushiriki maandamano yaliyoitishwa kwa lengo la kuishinikiza serikali iliyokataa kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa umma.

  • Rais Rouhani asisitiza kustawishwa uhusiano wa Iran na nchi za Kiafrika

    Rais Rouhani asisitiza kustawishwa uhusiano wa Iran na nchi za Kiafrika

    Feb 02, 2019 22:00

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kustawishwa uhusiano na kuweko ushirikiano wa karibu baina ya Tehran na nchi za Kiafrika zikiwemo Tunisia, Sierra Leone na Mali ni jambo la dharura.

  • Tunisia yaungana na Lebanon na Iraq kutaka Syria irejeshwe Arab League

    Tunisia yaungana na Lebanon na Iraq kutaka Syria irejeshwe Arab League

    Jan 27, 2019 04:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia Khemaies Jhinaoui ametoa mwito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuirejeshea Syria kiti chake cha uwanachama katika jumuiya hiyo na kusisitiza kwamba "mahali pa kimaumbile" pa nchi hiyo ni katika jumuiya hiyo yenye nchi 22 wanachama.

  • Mgomo wa nchi nzima Tunisia katika kumbukumbu ya mapinduzi ya wananchi

    Mgomo wa nchi nzima Tunisia katika kumbukumbu ya mapinduzi ya wananchi

    Jan 18, 2019 03:18

    Wananchi wa Tunisia wamenza mgomo wa nchi nzima wakitaka nyongeza ya mishahara. Mgomo huo unafanyika katika siku hizi ambapo nchi hiyo inaadhimisha ushindi wa mapinduzi ya wananchi yaliyoiondoa madarakani serikali ya kidikteta ya Zainul Abidin bin Ali mwaka 2011.

  • Mgomo wa nchi nzima wa wafanyakazi waanza nchini Tunisia

    Mgomo wa nchi nzima wa wafanyakazi waanza nchini Tunisia

    Jan 17, 2019 04:10

    Muungano mkubwa zaidi wa wafanyakazi nchini Tunisia UGTT umesema mgomo wa nchi nzima wa malaki ya watumishi wa umma umeng'oa nanga hii leo Alkhamisi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS