-
Uchaguzi wa rais Iran: Qalibaf aongoza katika utafiti wa maoni
Jun 14, 2024 06:52Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Qalibaf anaongoza katika utafiti wa maoni, kuelekea uchaguzi wa mapema wa rais unaotazamiwa kufanyika Juni 28.
-
Majina ya mwisho ya wagombea uchaguzi wa rais nchini Iran yatangazwa kwa ajili ya kufanyika uchaguzi wa hamasa
Jun 10, 2024 08:51Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza orodha ya majina ya mwisho ya wagombea wa awamu ya 14 ya uchaguzi wa rais ili kutoa fursa ya kufanyika uchaguzi wa hamasa na wenye ushiriki mkubwa wa wananchi.
-
Kiongozi wa serikali ya mpito ya Chad atazamiwa kuibuka na ushindi katika uchaguzi wa Jumatatu
May 02, 2024 04:04Jenerali Mahamat Idriss Deby Itno, aliyetangazwa na jeshi miaka mitatu iliyopita kuwa kiongozi wa serikali ya mpito ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi wa Rais Jumatatu ijayo baada ya jeshi la nchi hiyo kuwakandamiza pakubwa wagombea wa upinzani.
-
Ushindi mkubwa wa Putin katika uchaguzi wa rais wa Russia
Mar 19, 2024 02:42Tume Kuu ya Uchaguzi ya Shirikisho la Russia imetangaza kuwa Vladimir Putin, rais wa sasa wa nchi hiyo, ameshinda uchaguzi wa karibuni kwa asilimia 87.32 ya kura na hivyo kupata fursa nyingine ya kuwa rais wa Russia kwa muhula mwingine wa miaka sita. Kwa mujibu wa tangazo la tume hiyo, kiwango cha ushiriki katika uchaguzi kilikuwa cha zaidi ya asilimia 70.
-
Zoezi la upigaji kura kumchagua rais wa Russia limeanza leo
Mar 15, 2024 04:10Zoezi la upigaji kura wa nchi nzima wa kumchagua rais wa Russia limeanza rasmi leo.
-
Kujiandikisha Putin kwa ajili ya uchaguzi wa Russia 2024
Dec 19, 2023 23:07Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amethibitisha hhatua ya kwenda Rais Vladimir Putin wa Russia katika Kamati Kuu ya Uchaguzi ya nchi hiyo na kujiandikisha kama mgombea kwa muhula ujao wa urais, ambao utafanyika katikati ya Machi 2024. Putin amewasilisha stakabadhi zinazohitajika ili kujiandikisha kuwa mgombea urais.
-
Joseph Boakai atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa Liberia
Nov 21, 2023 04:29Mwanasiasa mkongwe Joseph Boakai jana Jumatatu alitangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa Liberia, akimshinda George Weah aliyebwagwa katika duru ya pili ya uchaguzi huo. Haya ni kwa mujibu wa tangazo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Liberia (NEC) baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura.
-
Hizbullah: Hakuna njia ya kujitoa katika mzozo wa urais isipokuwa mazungumzo
Jun 27, 2023 01:06Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria mgogoro kuhusu suala la kumchagua rais mpya wa nchi hiyo na kusema mazungumzo ndiyo njia pekee ya kuondokana na mgogoro huo. Amesisitiza kuwa kuendelea hitilafu juu ya suala hilo hakuna manufaa yoyote.
-
Upembuzi wa sababu za kuingia katika duru ya pili uchaguzi wa rais wa Uturuki
May 17, 2023 21:47Kama ilivyokuwa imetabiriwa na duru huru za kisiasa, uchaguzi wa rais wa Uturuki umeingia kwenye duru ya pili na chama tawala cha Uadilifu na Maendeleo (AKP) na muungano wake wa Jamhuri zimeshindwa kupata wingi wa kura zilizohitaji ili kuibuka mshindi katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Waturuki wapiga kura katika uchaguzi muhimu zaidi tangu wa mwanzo wa vyama vingi 1950
May 14, 2023 08:14Upigaji kura katika uchaguzi wa 13 wa urais na wa 28 wa wabunge nchini Uturuki ulianza leo saa mbili asubuhi nchini kote na ulitazamiwa kuendelea hadi saa 11 jioni kwa saa za nchi hiyo.