-
Velayati: Mataifa ya eneo hili hayatasalimu amri mbele ya misimamo mikali
Jul 03, 2017 23:15Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, mataifa ya eneo hili hayatasalimu amri mbele ya matakwa ya mirengo yenye misimamo mikali na waungaji mkono wao.
-
Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi
Jul 03, 2017 08:25Viongozi wa makundi na jumuiya mbalimbali za Kiislamu nchini Ufaransa wamewatahadharisha wafuasi wa dini hiyo kuhusu uwezekano wa kuongezeka mashambulizi yanayowalenga Waislamu nchini humo.
-
Watu 8 wajeruhiwa katika hujuma msikitini Ufaransa
Jul 03, 2017 03:30Watu 8 wamejeruhiwa baada ya kufyatuliwa risasi mbele ya mlango ya msikiti kusini mwa Ufaransa.
-
Ufaransa na malengo ya kisiasa na kiuchumi katika eneo la Sahel, Afrika
Jul 03, 2017 02:32Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliwasili jana mjini Bamako, mji mkuu wa Mali kwa lengo la kushiriki katika kikao kilichopewa anwani ya 'Kundi la Nchi Tano za Sahel' na katika fremu ya kuundwa kikosi cha kijeshi cha nchi za eneo hilo.
-
Ufaransa yasisitiza kupambana na ugaidi barani Afrika
Jul 02, 2017 10:31Rais wa Ufaransa amesisitizia udharura wa kupambana ugaidibarani Afrika. Amesisitiza hayo leo katika kikao kilichofanyika Bamako, mji mkuu wa Mali.
-
Nyaraka mpya zafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Jul 01, 2017 08:35Nyaraka mpya za kihistoria zilizochapishwa hivi karibuni kwa mara nyingine tena zimethibitisha nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda baada ya kupita miaka 23 tangu kutekelezwa mauaji hayo.
-
Sisitizo la Macron la kubadilika siasa za Ufaransa mkabala na Syria
Jun 22, 2017 22:02Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alisisitiza Jumatano wiki hii kwamba kumuondoa madarakani Rais Bashar al Assad wa Syria si jambo linalopewa kipaumbele tena na Ufaransa kama njia ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo. Macron amebainisha kuwa nchi yake hivi sasa inatoa kipaumbele kwa suala la kupambana na ugaidi huko Syria.
-
Macron: Si muhimu sasa suala la kuondolewa Assad madarakani huko Syria
Jun 22, 2017 03:33Rais wa Ufaransa amesema kuwa, suala la kuondolewa madarakani Rais Bashar Assad wa Syria halipewi tena kipaumbele kwa ajili ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo katika mtazamo wa Ufaransa.
-
Jumatano 14 Juni, 2017
Jun 13, 2017 22:39Leo ni Jumatano tarehe 19 Ramadhani 1438 Hijiria sawa na tarehe 14 Juni 2017.
-
Sisitizo la Ufaransa na Ivory Coast la kuimarisha uhusiano baina yao
Jun 12, 2017 06:23Marais Alassane Ouattara wa Ivory Coast na Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesisitiza katika mazungumzo yao ya kwanza tangu Rais huyo mpya wa Ufaransa aliposhika hatamu za uongozi juu ya umuhimu wa kuimarisishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali za kisiasa, kiuchumi na kiusalama.