-
Amoli Larijani: Uislamu hauna uhusiano na ugaidi
Jul 18, 2016 09:30Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi na kuongeza kuwa kile kinachodaiwa kuwa ni 'Ugaidi wa Kiislamu' ni fikra ya Wamagharibi ambao wanaunga mkono kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya wakufurishaji.
-
Hizbullah, Hamas zalaani shambulizi la kigaidi Nice
Jul 16, 2016 02:18Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) zimelaani shambulizi la kigaidi lililofanyika katika mji wa Nice nchini Ufaransa.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi la Nice, Ufaransa
Jul 15, 2016 11:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyosababisha vifo katika mji wa Nice nchini Ufaransa.
-
Hollande: Mapambano dhidi ya ugadi yatachukua muda
Jul 15, 2016 11:52Rais Francois Hollande wa Ufaransa amesema katika mkutano na vyombo vya habari katika mji wa Nice kuwa mapambano dhidi ya ugaidi yatachukua muda, kwa sababu adui angali anaendeleza mashambulizi yake.
-
Mwangwi wa shambulizi la kigaidi la Nice
Jul 15, 2016 11:40Shambulizi la kigaidi lililofanyika jana usiku katika mji wa pwani wa Nice nchini Ufaransa limeacha mwangwi mkubwa katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Ufaransa kuondoa askari wake Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jul 14, 2016 02:06Rais Francois Hollande wa Ufaransa ametangaza kuwa nchi yake itaondoa askari wake huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Zarif: Mgogoro wa Syria utatuliwe kwa njia ya kisiasa
Jun 23, 2016 11:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mgogoro wa Syria unaweza tu kutatuliwa kwa njia ya kisiasa.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Ufaransa ni kwa maslahi ya dunia
Jun 23, 2016 03:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Ufaransa na kusema kuwa ushirikiano huo utachangia kuleta amani na uthabiti duniani.
-
Uchunguzi wa ukatili uliofanywa na askari wa Ufaransa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jun 21, 2016 23:37Ufaransa imeanza kufanya uchunguzi kuhusu ukatili na unyanyasaji wa kingono uliofanywa na wanajeshi wa nchi hiyo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mkuu wa Mashtaka wa Paris wiki iliyopita alianzisha uchunguzi wa awali kuhusu askari wa Ufaransa wanaotuhumiwa kufanya vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
'Janga la Kimaumbile' latangazwa Paris kufuatia mafuriko
Jun 04, 2016 00:04Rais Francois Hollande wa Ufaransa ametangaza 'maafa ya kibinadamu' katika mji mkuu wa nchi hiyo kufuatia mvua kali ambazo zimesababisha mafuriko makubwa.