-
Jeshi la Iraq lafelisha njama za genge la Daesh (ISIS) za kutaka kurejea tena nchini humo
May 04, 2019 21:57Maafisa usalama nchini Iraq wametangaza kwamba, kikosi cha upelelezi cha nchi hiyo kimefanikiwa kufelisha njama za magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kuandaa mazingira ya kurejea tena ndani ya nchi hiyo.
-
Waliouawa katika hujuma za kigaidi Sri Lanka wakaribia 300
Apr 22, 2019 02:36Idadi ya watu waliopoteza maisha katika hujuma za kigaidi nchini Sri Lanka inakaribia 300 huku wakuu wa usalama nchini humo wakitangaza kuwa wamewakamata washukiwa 24.
-
Onyo kali la Kamanda wa IRGC kuhusu hatua tarajiwa za wakuu wa Marekani
Apr 07, 2019 10:31Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran (IRGC) ametoa onyo kali na kusema: "Iwapo Marekani itatekeleza hatua yake tarajiwa ya kuiweka IRGC katika orodha ya makundi ya kigaidi, basi ifahamu kuwa haitapata utulivu katika eneo."
-
Paris: Magaidi raia wa Ufaransa hawana ruhusa ya kurejea nchini
Apr 01, 2019 02:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesisitiza kuwa, hakuna gaidi yeyote raia wa Ufaransa atakayeruhusiwa kurejea nchini humo kutoka Syria na Iraq.
-
Iran yatahadharisha: Israel inaunda muungano na magaidi
Mar 29, 2019 11:31Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetahadharisha kuwa, utawala ghasibu wa Israel, ambao unatoa uungaji mkono kwa magaidi nchini Syria, unaweza kuunda muungano na magaidi hao iwapo tishio lao halitashughulikiwa ipasavyo.
-
Igizo jengine la Pompeo la uenezaji hofu na chuki dhidi ya Iran
Mar 29, 2019 00:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ameifufua tena kampeni ya uenezaji hofu na chuki dhidi ya Iran kwa kuituhumu Jamhuri ya Kiislamu kwa kile alichodai, nafasi haribifu iliyonayo katika eneo la Magharibi ya Asia na kuunga mkono ugaidi.
-
Sisitizo la Antonio Guterres la ulazima wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 24, 2019 03:07Matukio ya miaka ya hivi karibuuni katika medani ya kimataifa hususan kujitokeza makundi yenye kufurutu ada na kuenea vitendo vyao vya ugaidi katika madola ya Magharibi, yalivipatia vyombo vya habari na tawala za nchi hiyo kisingizio tosha cha kueneza chuuki dhidi ya Uislamu.
-
Magaidi kadhaa wa Daesh wauawa na maafisa usalama wa Tunisia
Mar 20, 2019 04:15Maafisa usalama wa Tunisia wamefanikiwa kuwaangamiza wanachama watatu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) karibu na mpaka wa nchi hiyo na Algeria.
-
Maandamano makubwa yafanyika London kupinga ubaguzi
Mar 17, 2019 00:56Makumi ya maelfu ya watu walikusanyika kati kati ya mji mkuu wa Uingereza, London jana Jumamosi kulaani na kupinga chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.
-
Bouthaina Shaaban: Chanzo cha ugaidi katika eneo ni utawala wa Kizayuni
Mar 10, 2019 10:42Mshauri wa Masuala ya Kisiasa na Habari wa Rais wa Syria amesema kuwa chanzo cha ugaidi huko Syria, Yemen, Iraq na Libya ni utawala wa Kizayuni.