-
Amani na mapatano ya kitaifa, kipaumbele cha wakuu wa Afrika mwaka 2017
Jan 02, 2017 00:49Viongozi wa nchi za Kiafrika wamesema kuwa siasa zao kwa mwaka mpya wa 2017 zinatoa kipaumbele kwa suala la kurejesha amani na kupatikana suluhu ya kitaifa barani humo.
-
Tahadhari ya maafisa usalama wa Tunisia kuhusu kurejea magaidi nchini humo
Dec 27, 2016 01:11Licha ya kupita miaka sita ya tangu kutokea mapinduzi ya wananchi huko Tunisia, hali ya usalama ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika bado si ya utulivu na hivi sasa kuna wasiwasi mkubwa wa kurejea magaidi na kufanya vitendo vya kigaidi nchini humo.
-
Sisitizo la Umoja wa Afrika la kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab
Dec 21, 2016 23:32Kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kwa mara nyingine tena kimesisitiza juu ya azma yake ya kukabiliana na tishio la kundi la kigaidi la al-Shabab.
-
Rais wa Russia awataka walimwengu wapambane kwa dhati na ugaidi
Dec 21, 2016 03:32Rais Vadimir Putin wa Russia ametoa wito wa kuweko vita vya kweli vya kupambana na ugaidi wa kimataifa.
-
Maelfu ya watu watiwa mbaroni Saudi Arabia kwa tuhuma za ugaidi
Dec 17, 2016 23:31Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza habari ya kutiwa nguvuni maelfu ya watu nchini humo kwa tuhuma za kuwa na mahusiano na makundi ya kigaidi.
-
Marekani, mhusika wa kujitokeza ugaidi katika Mashariki ya Kati
Dec 15, 2016 08:11Vitalin Churkin, balozi na mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema uingiliaji wa Marekani katika nchi za Iraq na Syria ndio uliosababisha kujitokeza Daesh na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati. Churkin aidha amesema Uingereza na Ufaransa ni washirika wa jinai za Marekani katika kuvuruga amani Mashariki ya Kati.
-
Hamas: Himaya ya Marekani kwa Israel ni kuunga mkono ugaidi
Dec 10, 2016 23:37Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, himaya na uungaji mkono wa Marekani kwa utawala haramu wa Israel ni uungaji mkono kwa ugaidi.
-
Maafisa sita wa polisi wauawa katika hujuma ya kigaidi Cairo
Dec 09, 2016 10:42Maafisa sita wa polisi nchini Misri wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa leo Ijumaa baada ya bomu la kutegwa barabarnai kulipuka katika kituo kimoja cha upekuzi mjini Cairo.
-
Rais wa Senegal asisitiza kutokomezwa ugaidi barani Afrika
Dec 07, 2016 00:27Rais Macky Sall wa Senegal amesisitizia ulazima wa kung'olewa na kutokomezwa mizizi ya ugaidi katika nchi zote za Afrika.
-
Oparesheni ya Kenya ya kukusanya silaha katika mipaka yake na Somalia na Ethiopia
Dec 05, 2016 08:50Serikali ya Kenya imetangaza kuwa, inakusudia kutekeleza mpango wa kukusanya silaha katika maeneo ya nchi hiyo yanayopakana na nchi za Somalia na Ethiopia.