-
Rais Rouhani: Iran inapambana na magaidi kwa nguvu kubwa
Sep 28, 2016 10:21Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapambana na ugaidi kwa nguvu kubwa katika eneo na dunia nzima kwa jumla.
-
Kenya yatangaza azma ya kuangamiza kundi la kigaidi la Al Shabab
Sep 27, 2016 11:38Afisa wa ngazi za juu katika polisi ya Kenya amesema vikosi vyote vya usalama nchini humo vina azma imara ya kuangamiza kundi la kigaidi la Al Shabab.
-
Viongozi wa Waislamu Kenya walaani wanawake magaidi waliokuwa wamevaa buibui
Sep 13, 2016 02:29Viongozi wa Waislamu nchini Kenya wamewakana na kuwalaani wanawake watatu waliotekeleza hujuma ya kigaidi dhidi ya kituo cha polisi mjini Mombasa siku ya Jumapili.
-
Magaidi wanaopata msaada wa Saudia wauawa nchini Iran
Sep 12, 2016 03:31Askari wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) wamesambaratisha mtandao wa magaidi wanaopata himaya ya Saudi Arabia na Marekani katika mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa nchi.
-
Rais Rouhani: Chimbuko la ugaidi katika eneo chanzo chake ni utendaji wa Marekani
Aug 28, 2016 03:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema chimbuko na kuenea ugaidi katika Mashariki ya Kati ni matokeo ya utendaji wa Marekani katika vita dhidi ya Iraq na Afghanistan na mgogoro wa Syria.
-
Rwanda yatahadharisha magaidi, yaua washukiwa 4
Aug 23, 2016 01:41Vyombo vya usalama nchini Rwanda vimesema havitafumbia macho yeyote atakayejaribu kujihusisha na mambo ya ugaidi kwa lengo la kuhatarisha usalama na amani ya nchi hiyo.
-
"Silaha za Marekani zinachochea ugaidi Mashariki ya Kati"
Aug 18, 2016 09:51Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Kijani nchini Marekani amesema kuna haja ya kuwekewa vikwazo vya silaha nchi zinazochochea machafuko na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kusisitiza kuwa, Washington imechangia pakubwa hali ya mchafukoge na harakati za ugaidi katika nchi za eneo hilo.
-
Iran: Undumakuwili ndio umeupa nguvu ugaidi duniani
Aug 09, 2016 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya hospitali katika mji wa Quetta nchini Pakistan na kusisitiza kuwa, usuasa za kindumakuwili ndizo zimekuza na kuzipa nguvu harakati za kigaidi katika kona mbalimbali za dunia.
-
Rouhani: Ugaidi kwa jina la Uislamu ni kwa faida ya maadui wa dini hii
Aug 08, 2016 03:15Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyakosoa vikali makundi ya kigaidi yanayoendeleza harakati zao za kikatili kwa jina la Uislamu na kusisitiza kuwa vitendo hivyo vinafanyika kwa maslahi na manufaa ya maadui na wanaoeneza chuki dhidi ya dini hiyo tukufu.
-
Assad akosoa waungaji mkono wa makundi ya kigaidi
Aug 04, 2016 23:50Rais wa Syria amesema kuwa uungaji mkono wa baadhi ya nchi kwa suala la ugaidi ndiyo sababu ya machafuko na kuwepo ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla.