-
Mahakama Uganda yapinga ombi la kusajiliwa kundi la LGBT
Mar 13, 2024 04:15Mahakama moja nchini Uganda imetupilia mbali ombi la kundi moja la kutetea mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja LGBT, lililotaka korti hiyo iilazimishe serikali ya Kampala itoe idhini ya kusajiliwa kwa kundi hilo.
-
Uganda yajitenga na jaji wa ICJ aliyepiga kura kwa maslahi ya Israel
Jan 27, 2024 03:59Uganda imejiweka mbali na hatua ya Julia Sebutinde, jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) raia wa nchi hiyo, ya kupiga kura kupinga vipengee vya maagizo yaliyotolewa na mahakama hiyo ya Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni Israel kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo pandikizi katika Ukanda wa Gaza dhidi ya Wapalestina.
-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran: Gaza imekuwa gereza kubwa zaidi la wazi duniani
Jan 20, 2024 10:19Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Harakati ya Nchi Zisizofungamano ya Siasa za Upande Wowote (NAM) kinachofanyika Kampala nchini Uuganda kwamba: Mzingiro wa muda mrefu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza umelifanya eneo hilo kuwa jela kubwa zaidi ya wazi duniani.
-
Kikao cha leo cha wakuu wa NAM Uganda; Iran yataka jumuiya hiyo itilie mkazo kuihami Palestina
Jan 19, 2024 04:08Mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM unafanyika leo katika mji mkuu wa Uganda, Kamapala huku Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikiwataka wanachama wa jumuiya hiyo kutilia mkazo uungaji mkono wao kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina.
-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran kushiriki mkutano wa NAM Uganda
Jan 19, 2024 00:01Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kwenda Kampala, mji mkuu wa Uganda kuhudhuria Mkutano wa 19 wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM).
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la ADF nchini Uganda
Dec 19, 2023 23:34Kwa akali watu watano wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulizi linaloshukiwa kufanywa na waasi wa kundi linalojiita Allied Democratic Forces (ADF) magharibi mwa Uganda.
-
Soka Afrika: Uganda kidedea Cecafa U18
Dec 09, 2023 07:44Timu ya taifa ya soka ya vijana ya Uganda imebuka kidedea baada ya kuichabanga Kenya mabao 2-1 katika fainali ya Mashindano ya Kandanda ya Kanda ya Afrika Mashariki na Kati Cecafa kwa vijana wenye chini ya miaka 18.
-
Mama wa miaka 70 Uganda awa mwanamke mkongwe zaidi kujifungua Afrika
Dec 01, 2023 03:17Ajuza wa miaka 70 huko nchini Uganda ameingia katika madaftari ya kumbukumbu kwa kuwa mwanamke wa kwanza mwenye umri mkubwa kujifungua barani Afrika.
-
Uganda yataja onyo la Marekani dhidi yake kuwa kichekesho
Oct 25, 2023 04:06Uganda imekejeli na kukosoa tahadhari iliyotolewa na Marekani iliyodai kuwa ni hatari kufanya biashara na kuwekeza katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Jumatatu, tarehe 9 Oktoba, 2023
Oct 08, 2023 23:02Leo ni Jumatatu tarehe 23 Rabiul Awwal 1445 Hijria inayosadifiana na Oktoba 9 mwaka 2023.