-
Saratani inaua 26,000 kwa siku, WHO yafichua pengo la maisha kati ya matajiri na maskini
Jul 09, 2026 10:42Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imeonya kwamba saratani inaweka mzigo mkubwa wa kibinadamu na kiuchumi kwa jamii duniani kote, ikichukua uhai wa zaidi ya watu 26,000 kila siku na kudhihirisha ukosefu mkubwa wa usawa katika viwango vya maisha kati ya nchi tajiri na maskini.
-
Namna Ghaza inavyowabebesha jinamizi la kiafya wanajeshi wa Israel
Sep 15, 2025 22:47Makumi ya wanajeshi wa utawala wa wa Kizayuni wa Israel waliovamia Ghaza wameambukizwa magonjwa ya ngozi ya kuambukiza.
-
Ugonjwa wa kipindupindu wauwa watu 63 mashariki mwa Chad
Aug 26, 2025 22:57Watu wasiopungua 63 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu katika jimbo la Ouaddai mashariki mwa Chad tangu katikati ya mwezi Julai mwaka huu. Taraifa hii imetolewa na Wizara ya Afya ya nchi hiyo.
-
UN: Wapalestina Gaza wanahitaji chanjo haraka ili kuzuia polio
Jul 30, 2024 23:10Katika jitihada za kuzuia janga la ugonjwa wa polio huko Gaza, mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa jana Jumanne yalikariri wito wa kufanyika jitihada za kimataifa za kuutaka utawala wa Israel usitishe vita ili kuruhusu kampeni kubwa ya utoaji chanjo kuanza.
-
Hikma za Nahjul Balagha (49)
Jun 06, 2024 03:05Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya 49 ya mfululizo wa makala hizi fupifupi za Hikma za Nahjul Balagha. Leo pia tutaangalia kwa muhtasari hikma nyingine za Imam Ali bin Abi Talib AS kama ilivyonukuliwa kwenye kitabu cha Nahjul Balagha tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi. Ingawa hii ni sehemu ya 49 ya mfululizo huu, lakini hikma tunayoichambua ni ya 42.
-
Idadi ya waliofariki kutokana na mripuko wa kipindupindu nchini Ethiopia yafikia watu 400
Dec 02, 2023 07:03Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limetangaza kuwa, mripuko wa kipindupindu unaoendelea nchini Ethiopia, hadi hivi sasa umeshasababisha vifo vya zaidi ya watu 400 kufikia sasa.
-
Hikma za Nahjul Balagha (27)
Sep 17, 2023 11:06Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya 27 ya mfululizo wa makala hizi fupifupi za Hikma za Nahjul Balagha. Leo pia tutaangalia kwa muhtasari hikma nyingine za Imam Ali bin Abi Talib AS kama zilivyonukuliwa kwenye kitabu cha Nahjul Balagha. Ni matumaini yetu mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi. Hii ni Hikma ya 27.
-
WHO yaimarisha hatua za kukabiliana na kipindupindu ambacho kimeua watu 30 nchini Somalia
Aug 12, 2023 23:25Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema limeongeza hatua za dharura ili kuokoa maisha na kuzuia maambukizi zaidi ya kipindupindu nchini Somalia baada ya watu 30 kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo tangu Januari mwaka huu.
-
Indhari kuhusu magonjwa yanayotokana na maji Somalia baada ya mvua kubwa
Apr 14, 2023 22:53Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imeonya kwamba mafuriko ya ghafla yaliiyotokea Somalia yanaweza kusababisha milipuko ya magonjwa yanayotokana na maji.
-
Madaktari Kenya watahadharisha kuhusu aina mpya za magonjwa ya zinaa
Apr 03, 2023 06:22Madaktari wamewataka Wakenya kuwa na tahadhari baada ya kugunduliwa aina mbili mpya za magonjwa ya zinaa (STIs).