-
Ulimwengu wa Michezo, Jul 29
Jul 29, 2024 07:19Hujambo msikilizaji mpenzi, natumai u mzima wa afya. Kipindi chetu cha leo ni makhsusi kwa ajili ya kuangazia tathmini na dondoo za Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024. Mashindano ya mara hii, yanatumika si tu kama jukwaa la kuitetea Palestina, bali pia ni uwanja wa kulaani na kukosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na waitifaki wake Wamagharibi, dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jul 22
Jul 22, 2024 05:38Hujambo mpenzi msikilizaji, na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa katika kona mbalimbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita...
-
Ulimwengu wa Spoti, Jul 8
Jul 08, 2024 07:22Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji, na karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio makubwa yaliyoshuhudiwa viwanjani ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia.....
-
Ulimwengu wa Spoti, Julai Mosi
Jul 01, 2024 07:18Natumai u bukheri wa afya msikilizaji mpendwa hapo ulipo. Karibu katika dakika hizi chache za kuangazia kwa ufupi baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa.
-
Ulimwengu wa Spoti, Juni 24
Jun 24, 2024 06:46Natumai u bukheri wa afya msikilizaji mpendwa, na karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Juni 10
Jun 10, 2024 06:26Hujambo mpenzi msikilizaji, natumai u mzima wa afya. Karibu tuangazie baadhi ya matukio makuu yaliyoshuhudiwa viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Persepolis yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Iran
Jun 02, 2024 10:29Klabu ya Persepolis ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka hapa nchini baada ya kuichachafya klabu ya Mes Rafsanjan Jumamosi. Esteqlal imemaliza ya pili baada ya kuisasambua Peykan mabao 2-0.
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 27
May 27, 2024 07:14Huu ni mukhtasari wa baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia…..
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 20
May 20, 2024 09:31Karibu tukudondolee baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Mei 13
May 13, 2024 07:15Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia...