-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 20
May 20, 2024 09:31Karibu tukudondolee baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Mei 13
May 13, 2024 07:15Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia...
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 6
May 06, 2024 05:16Huu ni mukhtasari wa baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia…..
-
Mcheza soka Muislamu kufukuzwa timu ya taifa ya Ufaransa kwa sababu ya Swaumu, wadau walaani
Mar 23, 2024 11:53Habari ya kufukuzwa mchezaji Mohamed Diawara kwenye kikosi cha timu ya taifa ya soka ya Ufaransa chini ya umri wa miaka 19 kutokana na kufunga Swaumu ya Ramadhani na kukataa kutekeleza maagizo ya Shirikisho la Soka la Ufaransa lililowataka makocha wa timu hizo kategoria za chini ya miaka 21 kutomwita mchezaji yeyote aliyeamua kufunga mwezi wa Ramadhani na kukataa kula mchana wa mwezi huu, imezusha mjadala mkubwa kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii.
-
Elneny azindua chumba cha kwanza cha Swala katika uwanja wa Arsenal
Mar 12, 2024 06:14Nyota wa timu ya taifa ya Misri, Mohamed Elneny, na mchezaji wa timu ya soka ya Uingereza ya Arsenal, amezindua chumba cha kwanza cha Swala kwa ajili ya wachezaji wa Kiislamu kwenye Uwanja wa Emirates uliopo katika mji mkuu wa Uingereza, London, suala litakalowawezesha kusali na kuabudu katika eneo hilo katika mwezi wa huu wa Ramadhani ulioanza jana Jumatatu, nchini Uingereza.
-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 11
Mar 11, 2024 08:15Hujambo mpenzi msikilizaji, natumai u bukheri wa afya. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia...
-
Ulimwengu wa Spoti, Machi 4
Mar 04, 2024 07:20Natumai hujambo mpenzi msikilizaji. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.....
-
Utunishaji misuli; Choopan wa Iran atwaa tuzo ya kifahari
Mar 03, 2024 11:14Mtunishaji misuli veterani wa Iran, Hadi Choopan ametwaa taji la kimataifa la 'Bwana Olympia' katika tuzo za Arnold Classic 2024.
-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 27
Feb 27, 2024 09:47Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri katika muda wa siku saba zilizopita kutoka sehemu mbali duniani.....
-
Dani Alves ahukumiwa kifungo cha miaka minne na nusu jela kwa ubakaji
Feb 23, 2024 11:36Mbrazil Dani Alves, nyota wa zamani wa Barcelona na PSG, amehukumiwa na mahakama ya Barcelona kifungo cha miaka minne na nusu jela kwa kosa la kumbaka msichana katika klabu ya usiku jijini humo Desemba 2022.