-
UNICEF: Hujuma dhidi ya watoto Myanmar inatia wasi wasi
Nov 10, 2016 09:58Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umeeleza wasi wasi wake kuhusu jinai za kutisha dhidi ya watoto zinazotekelezwa na jeshi la Myanmar katika jimbo la Rakhine.
-
Mjumbe wa UN atadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayoikabili Yemen
Nov 08, 2016 12:07Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayoikabili nchi hiyo.
-
Kulaaniwa shambulio dhidi ya vikosi vya kimataifa kaskazini mwa Mali
Nov 08, 2016 09:51Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio dhidi ya msafara wa kikosi cha kimataifa cha kusimamia amani MINUSMA kaskazini mwa nchi ya Mali iliyoko magharibi mwa Afrika.
-
Zimbabwe yakataa wito wa kukubali ushoga na ndoa za jinsia moja
Nov 08, 2016 03:55Serikali ya Zimbabwe imesema katu haitokubali wito wa Umoja wa Mataifa wa kukubali ushoga na ndoa za jinsia moja katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
WHO: Maelfu ya watu wameuawa nchini Yemen
Nov 07, 2016 11:20Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa maelfu ya watu wameuawa nchini Yemen katika mashambulizi ya Saudi Arabia na washirika wake ambayo yanaingia mwezi wa 20 sasa.
-
Askari jeshi wa UN na raia wauawa na wanamgambo huko Mali
Nov 07, 2016 00:48Askari jeshi mmoja wa kulinda amani wa kikosi cha Umoja wa Mataifa na raia wawili wameuawa katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na wanamgambo wenye silaha katikati mwa Mali.
-
Wito wa kuvumiliana kati ya serikali na wapinzani wa Kongo DR
Nov 05, 2016 08:16Mkuu wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameitolea mwito serikali na wapinzani nchini humo kuvumiliana.
-
Somalia na UN zakaribisha usitishaji mapigano baina ya Puntland na GalMudug
Nov 05, 2016 00:05Rais wa Somalia na mjumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo wamekaribisha makubaliano ya usitishaji mapigano yaliyofikiwa baina ya majimbo mawili ya nchi hiyo ya Puntland na GalMudug juu ya eneo la Galkayo.
-
UN yaipongeza Kenya kwa kubadili adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha jela
Oct 30, 2016 03:49Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya Kenya ya kubadilisha adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha jela kwa maelfu ya watu waliokuwa wakisubiri kutekelezwa hukumu hiyo dhidi yao.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa mienendo hasi ya utawala haramu wa Israel
Oct 30, 2016 03:40Michael Lynk, Mwakilisi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Haki za Binaadamu katika ardhi za Palestina, amesema kuwa Israel inazuia shughuli za makundi ya kutetea haki za binaadamu.