Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Watu milioni 65 wamelazimika kuwa wakimbizi duniani

    UN: Watu milioni 65 wamelazimika kuwa wakimbizi duniani

    Jun 20, 2016 03:38

    Idadi ya wakimbizi duniani imeendelea kuvunja rekodi na kutia wasi wasi, ambapo watu milioni 65.3 wamelazimika kuwa wakimbizi katika kona mbali mbali za dunia kufikia mwishoni mwa mwaka jana 2015.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya hali ya kiusalama DRC

    Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya hali ya kiusalama DRC

    Jun 18, 2016 03:37

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, yumkini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikatumbukia katika wimbi la ghasia za uchaguzi kama Burundi.

  • Mapigano kati ya jeshi la Kongo na wanamgambo mashariki mwa nchi

    Mapigano kati ya jeshi la Kongo na wanamgambo mashariki mwa nchi

    Jun 17, 2016 10:24

    Duru za kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimearifu kuhusu kujiri mapigano kati ya askari jeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya makundi yenye silaha mashariki mwa nchi.

  • Vijana: Wanasiasa ndio chanzo cha mizozo na matatizo Afrika

    Vijana: Wanasiasa ndio chanzo cha mizozo na matatizo Afrika

    Jun 17, 2016 00:14

    Idadi kubwa ya vijana barani Afrika wanahisi kuwa chimbuko la matatizo, mikwaruzano na migogoro katika nchi za bara hilo imetokana na wanasiasa wenye uchu wa madaraka na ubinafsi.

  • Viongozi wa Somalia wakasirishwa na misaada ya chakula ya UN ya nafaka zilizooza

    Viongozi wa Somalia wakasirishwa na misaada ya chakula ya UN ya nafaka zilizooza

    Jun 17, 2016 00:14

    Viongozi wa Somalia wamekasirika kwa kutumwa nchini humo misaada ya chakula ya Umoja wa Mataifa ya nafaka zilizooza kwa ajili ya raia wa nchi hiyo.

  • UN yatiwa wasiwasi na mapigano ya mpakani kati ya Ethiopia na Eritrea

    UN yatiwa wasiwasi na mapigano ya mpakani kati ya Ethiopia na Eritrea

    Jun 16, 2016 02:39

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema anatiwa wasiwasi na mapigano ya mpakani kati ya Ethiopia na Eritrea.

  • UN yakosoa kuzuiliwa wakimbizi katika nchi za Ulaya

    UN yakosoa kuzuiliwa wakimbizi katika nchi za Ulaya

    Jun 13, 2016 11:05

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasi wasi kuhusu habari za kuzuiliwa wakimbizi wakiwemo watoto wadodo katika mazingira ya kutisha barani Ulaya.

  • Burujerdi amtaka Ban Ki-moon kuiweka tena Saudia katika orodha yake nyeusi

    Burujerdi amtaka Ban Ki-moon kuiweka tena Saudia katika orodha yake nyeusi

    Jun 12, 2016 09:43

    Mwakilishi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amesema kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anapasa kwa mara nyingine tena kuchukua hatua ya kijasiri na kuliweka jina la Saudi Arabia katika orodha nyeusi ya Umoja huo kwa kukiuka haki za watoto.

  • Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni

    Jun 12, 2016 09:02

    Ofisi ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu imetoa ripoti inayoeleza kuwa Israel imeua Wapalestina 53 tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2016.

  • Polisi wa Burundi kuondolewa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Polisi wa Burundi kuondolewa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jun 12, 2016 00:00

    Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kuondolewa maafisa wa polisi wa Burundi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ifikapo mwishoni mwa mwezi ujao wa Julai.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS