Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Umoja wa Ulaya wataka Israel isitishe kubomoa nyumba za Wapalestina

    Umoja wa Ulaya wataka Israel isitishe kubomoa nyumba za Wapalestina

    Sep 08, 2018 10:56

    Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya Federica Mogherini ametoa mwito kwa utawala wa Kizayuni wa Israel usitisha mara moja bomoa bomoa ya nyumba za Wapalestina.

  • Italia yakata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya (EU)

    Italia yakata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya (EU)

    Aug 26, 2018 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ametangaza kuwa nchi hiyo imekata misaada yake kwa Umoja wa Ulaya kufuatia kuendelea mivutano kati ya umoja huo na Italia kuhusu suala la wahajiri waliokwama katika meli ya gadi ya pwani ya Italia kwa jina la Diciotti (Dichuti).

  • Sisitizo la Trump la kuzidi kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya

    Sisitizo la Trump la kuzidi kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya

    Aug 24, 2018 08:54

    Rais wa Marekani, Donald Trump amesisitizia utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi ya "Marekani Kwanza" na ameahidi kuendelea kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya kwa ajili ya kurejesha kile alichodai ni nguvu za Marekani zilizopotea.

  • Austria yaikosoa vikali Marekani kutokana na kujiondoa katika JCPOA

    Austria yaikosoa vikali Marekani kutokana na kujiondoa katika JCPOA

    Jul 29, 2018 02:56

    Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA Mei mwaka huu, hatua ambayo ilichukuliwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo, kulifuatiwa na ukosoaji mkubwa wa nchi zingine wanachama wa kundi la 5+1 zikiwemo nchi tatu za Troika ya Ulaya za Ufaransa, Uingereza na Ujerumani.

  •  Iran yaitaka EU iache maneneo matupu na kutekeleza ahadi kivitendo

    Iran yaitaka EU iache maneneo matupu na kutekeleza ahadi kivitendo

    Jul 18, 2018 08:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran sambamba na kusisitiza umuhimu wa uhusiano wa Iran na Umoja wa Ulaya baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, amesema, baada ya Ulaya kuahidi kufungamana na JCPOA, sasa umewadia wakati wa kutekeleza ahadi hizo kivitendo.

  • Hatua mpya ya Umoja wa Ulaya ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Hatua mpya ya Umoja wa Ulaya ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jul 18, 2018 05:31

    Licha ya kuendelea vitisho vya Marekani kuhusiana na mapatano ya nyuklia ya Iran JCPOA, Umoja wa Ulaya umepitisha sheria ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran inayojulikana kama 'Sheria Zuizi.'

  • AEOI: Iran ipo tayari kuimarisha urutubishaji urani JCPOA ikifeli

    AEOI: Iran ipo tayari kuimarisha urutubishaji urani JCPOA ikifeli

    Jul 18, 2018 02:56

    Behrouz Kamalvandi, Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) amesema Tehran iko tayari kuimarisha urutubishaji urani kwa kiwango cha juu iwapo jitihada za Umoja wa Ulaya za kuyanasuru makubaliano ya nyuklia ya Iran zitagonga mwamba.

  • EU yapinga mashinikizo ya Marekani kuitenga Iran

    EU yapinga mashinikizo ya Marekani kuitenga Iran

    Jul 17, 2018 02:39

    Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya amesema EU haiwezi kuburuzwa na Marekani na kushinikizwa kuitenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani: Marekani haiaminiki tena

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani: Marekani haiaminiki tena

    Jul 16, 2018 22:24

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amejibu matamshi na hujuma ya maneno ya Rais wa Marekani aliyeutaja Umoja wa Ulaya kuwa ni "adui" kwa kusema: Ulaya haiwezi tena kuitegemea Ikulu ya Rais wa Marekani.

  • Rais Donald Trump: Umoja wa Ulaya ni adui wa Marekani

    Rais Donald Trump: Umoja wa Ulaya ni adui wa Marekani

    Jul 15, 2018 23:41

    Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi mapya akiutaja Umoja wa Ulaya kuwa ni adui wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS