-
Jumatatu, tarehe 30 Aprili, 2018
Apr 29, 2018 23:17Leo ni Jumatatu tarehe 13 Shaaban, 1439 Hijria sawa na Aprili 30, 2018 Miladia.
-
Azma ya kimataifa kwa ajili ya kulinda mapatano ya JCPOA
Apr 26, 2018 08:41Huku tarehe 12 Mei ikiwa inakaribia, ambayo ni tarehe ya mwisho iliyoainishwa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, radiamali na harakati za serikali na viongozi wa kundi la 5+1 kwa ajili ya kulinda mapatano hayo zimeongezeka.
-
Umoja wa Ulaya waitaka Israel ikomeshe unyama wake dhidi ya Wapalestina
Apr 21, 2018 23:18Umoja wa Ulaya umeutaka utawala ghasibu wa Israel ukomeshe vitendo vyake vya utumiaji mabavu dhidi ya Wapalestina.
-
Indhari ya Ufaransa juu ya kutokea vita vya ndani barani Ulaya
Apr 19, 2018 21:09Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amehutubia bunge la Ulaya na kutoa indhari juu ya kutokea vita vya ndani barani humo.
-
Mogherini asisitiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran huku undumakuwili wa EU ukiendelea
Apr 17, 2018 03:48Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesistiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.
-
Iran yajibu ripoti ya uongo ya nchi nne za Kiarabu dhidi yake
Apr 13, 2018 03:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Bahram Qassemi amekosoa ripoti ya pamoja ya nchi nne za Kiarabu iliyotolewa mbele ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Ahmed Aboul-Gheit na kusema ni ya uongo na isiyo na ithibati yoyote.
-
EU yataka kukomeshwa mzingiro wa Ghaza
Mar 31, 2018 23:42Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomeshe mara moja kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina na pia uache kuuzingira Ukanda wa Ghaza.
-
Jibu madhubuti la Russia kwa hatua ya nchi za Umoja wa Ulaya
Mar 31, 2018 10:14Serikali ya Russia ilitangaza jana Ijumaa kuwa itawafukuza wanadiplomasia 59 wa nchi 23 tofauti walioko nchini humo. Uamuzi huo wa Moscow umechukuliwa kujibu hatua ya nchi hizo ya kuwafukuza kwa mpigo wanadiplomasia wa Russia. Katika jibu na radiamali yake kwa hatua ya kufukuzwa wanadiplomasia wake, serikali ya Moscow imechukua uamuzi wa kuwafukuza wanadiplomasia 41 wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya.
-
EU yabainisha wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu nchini Kongo
Mar 25, 2018 23:53Umoja wa Ulaya umeeleza wasiwasi wake kuhusu kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Jumapili, Machi 25, 2018
Mar 25, 2018 00:53Leo ni Jumapili tarehe saba Rajab 1439 Hijiria inayosadifiana na tarehe 25 Machi mwaka 2013 Miladia.