-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa
Apr 30, 2018 09:24Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo asubuhi Jumatatu wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Ehud Olmert: Israel haina ubavu wa kukabiliana na Iran
Apr 30, 2018 03:25Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, utawala huo hauna ubavu wa kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Saeb Erekat: Hatutoshiriki katika mpango wa mapatano utakaopendekezwa na Trump
Apr 29, 2018 22:10Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) ametangaza kuwa, Wapalestina hawatashiriki katika mpango wowote ule wa mapatano utakaopendekezwa na rais wa Marekani, Donald Trump.
-
Nabih Berri atahadharisha kuhusu Israel kuishambulia Lebanon
Apr 29, 2018 10:39Spika wa Bunge la Lebanon ametahadharisha kwamba, utawala haramu wa Israel umeajiandaa kuishambulia kijeshi nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio uliomuuwa Fadi al Batsh
Apr 27, 2018 03:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeutaja utawala wa kizayuni wa Israel kuwa ndio uliomuua Fadi al Batsh msomi na mwanasayansi wa Kipalestina huko Malaysia.
-
Wahandisi wa Kipalestina wazalisha umeme kwa mawimbi ya bahari kukabiliana na mzingiro
Apr 23, 2018 22:46Wahandisi wanne wa Kipalestina waliohitimu katika fani ya uhandisi mitambo wanatumia mawimbi ya bahari kuzalisha nishati ya umeme kwa ajili ya eneo la Ukanda wa Gaza lililowekewa mzingiro wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Umoja wa Ulaya waitaka Israel ikomeshe unyama wake dhidi ya Wapalestina
Apr 21, 2018 23:18Umoja wa Ulaya umeutaka utawala ghasibu wa Israel ukomeshe vitendo vyake vya utumiaji mabavu dhidi ya Wapalestina.
-
Shirika la Kizayuni linawafanyia ujasusi mahujaji kwa amri ya Bin Salman wa Saudia
Apr 21, 2018 09:35Duru za habari zimefichua kwamba, shirika moja la kijasusi la utawala haramu wa Israel limekuwa likiwapeleleza mahujaji wa nyumba ya Mwenyezi Mungu nchini Saudi Arabia.
-
Amnesty yataka kufanyike uchunguzi wa mauaji ya Wapalestina
Apr 16, 2018 09:50Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kukomeshwa ukandamizaji unaofanywa na maafisa wa utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina na kuanzishwa uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na askari wa utawala huo dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina.
-
Velayati: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria yatajibiwa
Apr 11, 2018 09:13Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa jinai iliyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya kituo cha anga cha T-4 nchini Syria hayatapita hivihivi bila ya kujibiwa.