-
Amnesty International yaitaka Saudia iwaachie huru watetezi wa haki za binadamu
Aug 07, 2018 23:43Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka jamii ya kimataifa kuishinikiza zaidi Saudi Arabia ili ikomeshe ukandamizaji na iwaachie huru wapinzani na wanaharakati wa masuala ya kijamii. Wito huo umetolewa baada ya utawala wa kizazi cha Aal Saud kuzidisha mashinikizo dhidi ya wapinzani wa serikali ya kifalme ya nchi hiyo na wanaharakati wa masuala ya haki za binadamu.
-
HRW: Serikali na wanaotaka kujitenga wamehusika na jinai Cameroon
Jul 20, 2018 20:48Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema jeshi la serikali na kundi linalotaka kujitenga eneo la watu wanaozungumza Kiingereza Cameroon wamehusika katika mauaji na jinai nyingine za kutisha nchini humo.
-
Takwimu: Uingereza imeongeza kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu
Jul 18, 2018 22:36Takwimu mpya zilizotolewa zinaonyesha kuwa, Uingereza imeongeza biashara yake ya silaha kwa nchi ambazo zimekuwa zikikiuka haki za binadamu.
-
Wasiwasi wa kukiukwa haki za binadamu nchini Marekani
Jun 30, 2018 12:35Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa siasa za hivi karibuni za serikali ya Marekani kuhusiana na haki za binadamu na kusisitiza kuwa serikali ya Washington imeliweka kando suala la haki za binadamu katika uga wa siasa za ndani na nje.
-
HRW: Watu 15 waliuawa wakati wa kampeni za kura ya maoni Burundi; matokeo ya awali yatangazwa + Sauti
May 18, 2018 09:33Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kwa akali watu 15 waliuawa wakati wa kampeni za kura ya maoni ya kuifanyia marekebisho katiba huko nchini Burundi.
-
Matukio 995 ya ukiukaji haki za binadamu yameripotiwa Bahrain mwezi Januari pekee
Feb 13, 2018 23:21Kituo cha kutetea haki za binadamu cha Bahrain kimeripoti kuwa matukio 995 ya ukiukaji haki za kijamii na za binadamu yamejiri nchini humo ndani ya mwezi mmoja uliopita wa Januari.
-
HRW: Bahrain imewapokonya uraia watu 8 na kuwapeleka Iraq
Feb 04, 2018 13:01Katika kile kinachoonekana na muendelezo wa sera kandamizi za Bahrain, utawala wa Aal-Khalifa umewapokonya uraia watu wanane na kuwapeleka nchini Iraq.
-
UN yashtushwa na ukiukwaji wa haki za binadamu Imarati
Jan 10, 2018 12:32Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kutokana na kushtadi uvunjwaji wa haki za binadamu katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
-
UN yaitaka Saudia iache kuwakandamiza watetezi wa haki za binadamu
Jan 03, 2018 00:31Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Saudi Arabia ikomeshe ukandamizaji wa watetezi wa haki za binadamu nchini humo.
-
HRW: Ubakaji unatumika kama silaha ya vita Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 05, 2017 10:26Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema ubakaji na dhulma za kijinsia zinatumiwa kama mbinu ya vita na magenge ya waasi wanaobeba silaha katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.