Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Russia yajibu Marekani, yapunguza idadi ya wanadiplomasia wa Marekani na kuzuia mali zao

    Russia yajibu Marekani, yapunguza idadi ya wanadiplomasia wa Marekani na kuzuia mali zao

    Jul 28, 2017 21:51

    Katika kujibu hatua ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia, serikali ya Moscow imetoa amri ya kupunguzwa idadi ya wanadiplomasia wa nchi hiyo nchini humo sambamba na kuzuia baadhi ya mali za kidiplomasia za maafisa hao.

  • Syria yakosoa kuendelezwa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi yake

    Syria yakosoa kuendelezwa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi yake

    Jul 28, 2017 21:51

    Bashar Jaafari, Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amelaani mwendelezo wa vikwazo vya kidhalimu vya nchi za Magharibi dhidi yake na kusema kwamba vikwazo hivyo vimelemaza kabisa shughuli za mashirika ya misaada ya kibinadamu nchini humo.

  • Kamal Kharrazi: Hatua za kihasama za Marekani dhidi ya Iran si jambo jipya

    Kamal Kharrazi: Hatua za kihasama za Marekani dhidi ya Iran si jambo jipya

    Jul 28, 2017 02:59

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Iran amesema: Hatua za kihasama za Rais wa Marekani dhidi ya Iran ni siasa zilizoanza tangu mwaka 1979 wakati wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na zinaendelea hadi sasa.

  • Dakta Larijani: Iran imejiandaa kukabiliana na vikwazo vipya vya Marekani

    Dakta Larijani: Iran imejiandaa kukabiliana na vikwazo vipya vya Marekani

    Jul 27, 2017 23:03

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Iran imejiandaa kikamilifu kukabiliana na vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya taifa hili.

  • Rais Hassan Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa Marekani

    Rais Hassan Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa Marekani

    Jul 26, 2017 09:23

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa hatua ya Marekani ya kupasishwa vikwazo vipya dhidi ya taifa hili.

  • Nchi nne za Kiarabu zashadidisha vikwazo vyao dhidi ya Qatar

    Nchi nne za Kiarabu zashadidisha vikwazo vyao dhidi ya Qatar

    Jul 25, 2017 09:46

    Nchi nne za Kiarabu zilizovunja uhusiano wao wa kidiplomasia na Qatar na kuiwekea vikwazo nchi hiyo ya Kiarabu leo zimetoa orodha mpya ya majina ya taasisi na shakhsia zinaodai kuwa wana mfungamano na makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Qatar.

  • Russia yalaani hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya Iran

    Russia yalaani hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya Iran

    Jul 21, 2017 03:14

    Mkuu wa Idara ya Kuzuia na Kudhibiti Silaha iliyo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Mikhail Ulyanov amelaani hatua ya kiuhasama ya Marekani katika kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vipya na kusema kuwa, vikwazo hivyo havijazingatia sheria zozote zile.

  • Iran kamwe haitalegeza msimamo mbele ya Marekani na maadui wengine

    Iran kamwe haitalegeza msimamo mbele ya Marekani na maadui wengine

    Jul 01, 2017 09:03

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitalegeza msimamo mbele ya maadui na kwamba nchi hii itatoa jibu kali kwa vitisho vyovyote vile.

  • Qatar yasusia bidhaa za nchi nne za Kiarabu

    Qatar yasusia bidhaa za nchi nne za Kiarabu

    Jul 01, 2017 02:49

    Wananchi wa Qatar wamesusia bidhaa za nchi nne za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri baada ya nchi hizo kuendeleza vikwazo vya kiuchumi dhidi ya nchi yao.

  • Brigedia Jenerali Jazayeri: Iran ina njia ya kuiadhibu Marekani

    Brigedia Jenerali Jazayeri: Iran ina njia ya kuiadhibu Marekani

    Jun 18, 2017 23:08

    Naibu Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran ina namna na njia ya kuiadhibu Washington baada ya Bunge la Seneti la Marekani kupasisha vikwazo vipya dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC kwa madai yasiyo na msingi ya ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS