Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Mgogoro wa Qatar wachukua sura mpya, Misri yataka Uturuki iwekewe vikwazo

    Mgogoro wa Qatar wachukua sura mpya, Misri yataka Uturuki iwekewe vikwazo

    Jun 17, 2017 11:06

    Mgogoro ulioanzishwa na Saudi Arabia dhidi ya Qatar umechukua sura mpya baada ya mtandao mmoja wa habari wa nchini Uingereza kuandika kuwa, rais wa Misri ametaka Uturuki iwekewe vikwazo kutokana na kuiunga mkono Qatar.

  • Seneti ya Marekani yaakhirisha kura kuhusu vikwazo vipya dhidi ya Iran

    Seneti ya Marekani yaakhirisha kura kuhusu vikwazo vipya dhidi ya Iran

    Jun 09, 2017 03:32

    Seneti ya Marekani imeakhirisha kuupigia kura mpango wa vikwazo vipya vya upande mmoja dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hadi Jumatatu tarehe 12 mwezi huu.

  • Kuongezwa muda wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Syria

    Kuongezwa muda wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Syria

    May 31, 2017 03:40

    Umoja wa Ulaya ukiendeleza siasa zake za chuki na uadui dhidi ya serikali halali ya Syria, umeongeza muda wa vikwazo vyake dhidi ya nchi hiyo.

  • Iran yawawekea vikwazo Wamarekani kujibu uchokozi wa dola hilo la kibeberu

    Iran yawawekea vikwazo Wamarekani kujibu uchokozi wa dola hilo la kibeberu

    May 18, 2017 09:52

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeongeza idadi ya watu na mashirika ya Marekani katika orodha ya vikwazo vyake ikiwa ni kujibu hatua kama hiyo iliyochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran. 

  • Iran yasisitiza kuendeleza mpango wake wa makombora

    Iran yasisitiza kuendeleza mpango wake wa makombora

    May 18, 2017 02:47

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza juu ya azma ya taifa hili ya kuendeleza mpango wake wa makombora.

  • Wafanyakazi wa Norway wasusia bidhaa za utawala wa Israel

    Wafanyakazi wa Norway wasusia bidhaa za utawala wa Israel

    May 13, 2017 09:05

    Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wapalestina.

  • Iran kuiwekea Marekani vikwazo

    Iran kuiwekea Marekani vikwazo

    Mar 26, 2017 09:44

    Kufuatia hatua ya Marekani ya kuiwekea Iran vikwazo, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nayo itachukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kuiwekea Marekani vikwazo.

  • Kongresi ya Marekani yajiandaa kuibana zaidi Iran kwa vikwazo vipya

    Kongresi ya Marekani yajiandaa kuibana zaidi Iran kwa vikwazo vipya

    Mar 24, 2017 02:50

    Maseneta wa Bunge la Kongresi la Marekani wameandaa muswada wa sheria inayopania kuiongezea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran eti kwa kufanyia majaribio makombora yake ya balistiki.

  • Israel yakiri kuongezeka harakati ya ususiaji dhidi yake duniani

    Israel yakiri kuongezeka harakati ya ususiaji dhidi yake duniani

    Mar 21, 2017 00:38

    Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, vimetangaza ongezeko kubwa la 'Harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji dhidi ya Israel' maarufu kwa jina la BDS.

  • Zarif: Vikwazo  vya Marekani dhidi ya Iran havina natija iyokusudiwa

    Zarif: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina natija iyokusudiwa

    Mar 16, 2017 03:55

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran katika nyuga za kisaisa na kiuchumi vitaku na natija ambayo Wamarekani hawakukusudia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS